Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Hii ni kuingilia haki yangu ya the right to privacy, event imefanyikia Ikulu, Ikulu sio sokoni ambapo kila mtu yuko free kuingia, mimi hili naomba nisilijibu, ila kihabari, sisi wanahabari kupitia press card zetu we have unlimited access to every public event, ila kwenye hizo public events, kuna open public events ambazo ziko open kwa public na kuna closed public events ambazo ushiriki ni by invitation, ukisikia event imefanyikia uwanja wa wazi ujue ni open public event na ukisikia event imefanyikia ukumbi wa ndani hiyo ni closed public event.Paschal umealikwa au umejialika? tuanzie hapo
P