Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia kwenye masuala mengine anajitahidi, yupo fast to act, which is good.

Ila kwenye mambo ya siasa anakuwa mgumu sana kuelewa mpaka pawepo na vikao vya maridhiano, tena hata kwenye masuala yaliyo wazi kisheria, ajabu sana; sijui wakina nani wanamdanganya, hajiamini.
 
Naomba nieleweshwe; 23% imeongezeka kwa kile kima cha chini tu au wote?

TUCTA walisema wanataka tzs 1,050,000 kama kima cha chini, hii ingekuwa ni ongezeko la asilimia ngapi?

Kima cha chini ni tzs ngapi?

Mwinyi aliongeA 15% kwa wote au kima cha chini?

Asanteni
 
W Waje watu wa z -score na T -score
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…