Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Samia kwenye masuala mengine anajitahidi, yupo fast to act, which is good.

Ila kwenye mambo ya siasa anakuwa mgumu sana kuelewa mpaka pawepo na vikao vya maridhiano, tena hata kwenye masuala yaliyo wazi kisheria, ajabu sana, sijui wakina nani wanamdanganya.

Bosi Achana na wanawake wale, ukishindana na wanawake uwezi kufanikiwa, Acha chuki tafuta ela Jenga Maisha yako
 
Soma mwenyewe

IMG-20220514-WA0000.jpg
 
Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Tatizo hakuna ufafanuzi hapo! Ongezeko la asiliamia 23.3%la kila cha chini cha msharana! Sio ongezeko la mshahara kwa asilimia 23.3%! Hapo tuelewane kwanza ndo tuweze kuongea zaidi hapo ni jambo zuri!
 
Hiyo ni wa watu walio kima Cha chini, waliokua wakilipwa 270000, Sasa watalipwa 330000
Una elimu gani mkuu?? Kwahiyo aliyekuwa analipwa 330000 mwanzoni ataendelea kulipwa hivyo kwa akili yako?
Nyongeza ya mishahara inasetiwa kwa kima cha chini ili kubalance kule juu, hivyo nyongeza ya kima cha chini maana yake unawasogeza wengine juu zaidi.
 
Back
Top Bottom