Memento
JF-Expert Member
- Jun 13, 2021
- 4,423
- 9,986
Ni kweli huna, sio ww tu karibu walimu wote hamna.Nitakujibu nn tena wakati uliniambia sina akili
Kusoma tu hiyo document na kuelewa umeshindwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli huna, sio ww tu karibu walimu wote hamna.Nitakujibu nn tena wakati uliniambia sina akili
Kum***** unastahili hili nenoTunakamuana ili kulipana mishahara tu.
Miradi ya maendeleo imelala huko.
Watu tunawaza kula tu.
Nasubiria mapovu na CHUKI kutoka kwa watu wasiokuwa Watumishi😄😄😄Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
View attachment 2224213View attachment 2224214
Mimi mbeba boksi huku,hilo halinihusu.Watumishi chukueni makapu ya kubebea hela
Hili taifa sio la wahuni, wavunja sheria hawaachwi hata dakika moja.
Kwani magufuli alitekeleza miradi kwa fedha za ndani au mikopo?Tunakamuana ili kulipana mishahara tu.
Miradi ya maendeleo imelala huko.
Watu tunawaza kula tu.
Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.Mkuu kabla hujahukumu ungekaa kimya kwanza uone implications za niongeza ya kima cha chini. Sio mara ya kwanza kuongeza mshahara kwa kima cha chini.
Kama wangekuwa wanamaana hiyo unayoifahamu wewe tangazo lingekuwa kama lile la Zanzibar.
Huo ushahidi uko wapi? Kwanini usiweke hapa tuuone?Sioni sababu ya kitaalamu ya kuonheza mishahara kwa wafanyakazi wa umma.
Serikali unatakiwa kujikita kupandisha thamani ya shilingi ya Tanzania ili pesa inayo patikana kwa wananchi kwa ujumla wao iweze kukidhi mahitaji yao ya kila siku.
Kuoambana na mufumko wa bei ya bidhaa na huduma mbalimbali.
Upo ushahidi kila mshahara unapo panda bidhaa hupanda bei .
Hivyo inawaumiza wale wasio na mshahara wa mwezi Bali ni wahangaikaji wa vibarua visivyo rasimi.
Mambo ya Sukuma Gang yanaingiaje hapa?Sukuma Gang hutawaona hapa.. samia anafanya ambayo mungu wao alishindwa kwa miaka 6 halafu bado Yanamuabudu kama Wafuasi wa nabii Zumarid
Kalaga baho. Kumbe huelewi hii kauli wewe.23.3% Kwa kima cha chini maana yake ni NYONGEZA KWA LEVEL ZOTE, KUANZIA CHINI.
Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.
SERIKALI INAPANDISHWA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE WOTE KWA UJUMLA NA RATE SAWA. MTATOFAUTINA POSHO KULINGANA NA TAASISI.
Hapo tunaenda kukopa ili kulipa mishahara .Kum***** unastahili hili neno
asante ila unasogeza wengine kwa rate ipi au ni 23% hiyo hiyo watu hapana elewaUna elimu gani mkuu?? Kwahiyo aliyekuwa analipwa 330000 mwanzoni ataendelea kulipwa hivyo kwa akili yako?
Nyongeza ya mishahara inasetiwa kwa kima cha chini ili kubalance kule juu, hivyo nyongeza ya kima cha chini maana yake unawasogeza wengine juu zaidi.
Basi acha tukope tu ili tulipe mishahara.Kwani magufuli alitekeleza miradi kwa fedha za ndani au mikopo?
Katetee legacy mkuuMambo ya Sukuma Gang yanaingiaje hapa?
Yaani watu kama nyie ndio mliokuwa mnawaponza walimu wenu wanaonekana hawajui kufundisha.
Kanuni ya upandaji wa mishahara unaijua??Kalaga baho. Kumbe huelewi hii kauli wewe.
Mwaka 2017 Dr. Shein alitangaza nyongeza ya kima cha chini kwa 100%√
Watu wanasoma kwa kukurupukaKwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,
Watu wanabisha tu aisee
Hiyo ni ya kima cha chini mkuu, sio wote.