Mia ya noti
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 866
- 1,234
Hamna sio hivyo hapo ni kima cha chini walio na mshahara mkubwa kiasi kinapungua mpk kukaribia sifuri.Meaning kila mtumishi ataongrzewa 62,910
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna sio hivyo hapo ni kima cha chini walio na mshahara mkubwa kiasi kinapungua mpk kukaribia sifuri.Meaning kila mtumishi ataongrzewa 62,910
AsantKaribu 88 mapumban
Mm nilipitia pia twitter kuona ikulu walichopost ndio nikawaelewa vizuriUnatoa wapi uhalali na ujasiri wa kudharau, kukejeli na kutweza waalimu au watu mnaopishana nao uelewa?
Mie nilichoelewa kwenye hiyo taarifa, kama kichwa Cha habari kilivyo na paragraph ya kwanza, ni kwamba, Rais ameridhia ongezeko la mishahara Kwa wafanyakazi wote wa umma ( hajataja asilimia ngapi), ameweka wazi kwamba wale wa kima Cha chini ndio ongezeko lao la mshahara ni asilimia 23.3%.
Mbona na wewe unasema nyongeza ni Kwa kima Cha chini pekee lakini haujaitwa hauna akili?
Kutokuelewa jambo inaweza kuwa ujinga Kwa Mara Moja lakini sio kukosa akili.
Wewe kiazi kichwa changu sijakikabidhi kwa serikali kama wewe, hebu tushangilie kima cha chini kimeongezeka.
Walio nje ya Kima cha chini itakuwaje na ni wengi sana.Tafsiri yake ni kwamba Rais ameongeza 23.3% kwenye kima cha chini cha mshahara Kama kilikuwa (mathalan) 100,000 23.3% ni 23,300 i.e 123,300/-
Si ndio nyie asipopandisha mnaponda, alipandisha mnapondaKwani hizo pesa zitakutosha sasa ?
Mkianza kuzipokea na kodi za nyumba na bidhaa zinapanda mnabaki kuomba omba mitaani na kukopa mkiweka dhamana ya vi subwoofer vyenu.
Naam, maana barua imesema ongezeko la 19.7% sio? Hii inamaana hiyo kuwa kima cha chini ndo kitapaa kwa hiyo 23%, hizo nyinginge zitakuwa zimepandaje?Hapa kwa kima cha chini ni 23. Ila kwa waliovuka kima cha chini wamepugiwa hesabu zingine.
Yaani 1.9 trillion iwe imeongezwa kwa waliokuwa wanalipwa laki 3 kamili tu inakuja?
We hiyo taarifa umeipata wapiKima cha chini kwa watumishi wa umma ni 300000
Hata kenya nyongeza inapimwa kwa kima cha chini
Watumishi wote wanaongezwa mshahara
Hilo ongezeko unalielewa vizuri? FuatiliaWatanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Sioni kama una akili ya kusomwa kwa ugoro ulioandika pale, elewa tu sio kila mada ni ya kujadili Wewe.Wewe kwenye elimu tuelimishe sisi! Umesoma vizuri nilichoandika? Mna vyeti vingi akili kidogo!
Wewe ndio huelewi mzee, soma kwa makini na uelewe.Hiyo ni post ya ikulu, naamini umeielewa
Bado makato mfano PSSSf, Income tax etcKama mshahara wa mwalimu ni degree ni 756,000/= kwa mwezi ...
Kama mama kaongeze asilimia 23.3% maana yake kwa mwezi mwalimu huyo atakuwa anapata ngapi ...?
23.3/100 ×756,000=176,148
Kwa hivyo basi baada ya kuongeza mshahara maana yake mwalimu wa degree anaenda kupata ...
756,000+176,148= 932,148 kwa mwezi ....
Au Mimi nawaza tofauti wadau ?????
Wewe ni mjinga kama Malaika wenu wa Chato. Hizo hela za mishahara ya watumishi mwisho wa siku zinaenda wapi? Wale machinga wanataka vitu vinunuliwe na nani? Wakulima je? Wafanyabiashara wamuuzie nani? Magu aliacha kuongeza mishahara kwa kidingizio cha miradi, je kuna mradi wowote umesimama? Fly over za Chang'ombe, Uhasibu ziliachwa asilimia ngapi na sasa ipo ngapi? Reli ya SGR iliachwa asilimia ngapi na sasa ngapi? Mji wa Mtumba je? Kumbe iliwezekana ila roho mbaya yake tu.Waajiriwa 1,000,000 v/s watanzania 59mil waliopo katika mfumo usio rasmi,na ambao kilio chao hawafahamu pa kukipeleka.
•Magu aliangalia sana hapa!
Ni kweli kabisa nimeamini wengi hatujui kusomaKama mshahara wa mwalimu ni degree ni 756,000/= kwa mwezi ...
Kama mama kaongeze asilimia 23.3% maana yake kwa mwezi mwalimu huyo atakuwa anapata ngapi ...?
23.3/100 ×756,000=176,148
Kwa hivyo basi baada ya kuongeza mshahara maana yake mwalimu wa degree anaenda kupata ...
756,000+176,148= 932,148 kwa mwezi ....
Au Mimi nawaza tofauti wadau ?????
Kila mtu akijiajiri nani atafundisha watoto wako utakaowazaa? Vp kuhusu polisi watakaolinda biashara yako uliyojiajiri?Mnaacha kujiajiri mnahangaika kuwa watumwa serilalini. Halafu mnashangilia nyongeza ya kimshahara wakati maisha nayo yanapanda. Mindless
Hapo zinatumika almost trilioni 10 kwa ajili ya watu milioni moja tu katika population ya watu milioni 60.ni haki yao, wewe na mimi tusio watumishi wa umma pia tutafaidika kupitia shughuli tunazofanya! Hata hivyo katika hiyo mishahara watumishi wanalipa kodi inayotumika kwenye hiyo miradi ya maendeleo! Acha roho mbaya mkuu