Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Duh mbona unatutisha watumishi [emoji3064][emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kwani hiyo 56000 ni kidogo?
 
Ficha upuuzi na roho mbaya ngosha...
 
TUCTA ni tawi la CCM usitarajie hata siku moja wakafanya hivyo, katika awamu ya 5 ndo hawakusikika kabisa wamekuja kuibuka awamu hii wakiwa na hayo mapendekezo mkononi
Kila mwezi wanachukua asilimia mbili ya mshahara wa mfanyakazi ( gross income) halafu wanamsaliti mfanyakazii huyohuyo.
 
Hiyo 18% umeitoa wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
18 per cent ni VAT au?
 
Kima cha chini cha kila sekta ni 300,000 ?


Au ni kiks cha chini cha sekta au kada husika ?

Kunw kada kima cha chini ni 600,000.
Kuna kada kima cha chini ni 500,000.

Sas akima cha chini cha lski tatu kimekuwaje naomba ufafanuzi mkuu
 
Maisha ya utumishi kwa sasa ni kazi
 
Na hiyo 56000 imetokana na 23.3% increase isingekua hivyo isingekuepo. Tanzanians tujifunze kupongeza panapostahili ni ninyi juzi hapo mlikua mnamsifia Uhuru kwa 15% raise.
Hii 23.3% bado ndogo acha kusifia upuuzi.
 
Mkubwaa...

Hatujui hesabu ila jua kuwa hicho kima ni kwa mtu anae lipwa laki tatu pekee...
Na je...??? Anae lipwa laki nane na nusu...???
Nae anaongezewa 56k...??

Au ndo unavyo fikiri...?
 
Kima cha chini cha kila sekta ni 300,000 ?


Au ni kiks cha chini cha sekta au kada husika ?

Kunw kada kima cha chini ni 600,000.
Kuna kada kima cha chini ni 500,000.

Sas akima cha chini cha lski tatu kimekuwaje naomba ufafanuzi mkuu
Kima cha chini ni kimoja tu, hakuna kima cha chini cha kila sekta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…