Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Sio kweli,iko hivi mshahara huongezwa kwa kuzingatia kima cha chini,maana yake mtu wa kima cha chini anaongezewa asilimia kubwa ili kupunhuza gape kati yke na kima cha juu,kwa hiyo kama kima chini anapewa asilimia 23.3 wa juu yake atapunguziwa asilimia fomula inaenda hivyo hivyo hadi wa daraja la mwisho.Hapo nimeongea na mtumishi mmoja wa umma anasema hiyo nyongeza ya 23% ipo hivi.
Kama Kima cha chini cha mshahara ni laki tatu itakuwa hivi
300,000 × 0.23 = 69,000.
Kwa hiyo watumishi wote wa serikali wataongezewa 69,000 kwenye mishahara yao.
Kwa aliyekuwa analipwa
500,000+ 69,000 =569,000
600,000+69,000=669,000
700,000+69,000=769,000
1,000,000+69,000=1,069,000
Hivyo hivyo kwa mishahara ya ngazi zote.
Kwa mantiki hii ni kwamba mtu anaepokea let us say 250,000*0.233 =58,250 then wa juu yake asilimia itashuka kidogo lakini pesa itakayoongezeka itakua kubwa kiasi kutogautisha na wa kima cha chini mfano anapokea 350,000*0.183= 64,050 na kuendelea
Kwa mantiki hii watumishi wote lazima wataona badiliko katika mishahara yao,na nyongeza haiwezi kua flat rate!