Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Ongezeko la mshahara kwa 23% huku mfumuko wa bei na ongezeko la bei za bidhaa ni zaidi ya 50%
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongezeko la mshahara kwa 23% huku mfumuko wa bei na ongezeko la bei za bidhaa ni zaidi ya 50%
Pole!Hilo kichwa fanyia kazi kitu kingine
Hakuna utaratibu kama huo kwenye kupandisha mishahara !!Hapo nimeongea na mtumishi mmoja wa umma anasema hiyo nyongeza ya 23% ipo hivi.
Kama Kima cha chini cha mshahara ni laki tatu itakuwa hivi
300,000 × 0.23 = 69,000.
Kwa hiyo watumishi wote wa serikali wataongezewa 69,000 kwenye mishahara yao.
Kwa aliyekuwa analipwa
500,000+ 69,000 =569,000
600,000+69,000=669,000
700,000+69,000=769,000
1,000,000+69,000=1,069,000
Hivyo hivyo kwa mishahara ya ngazi zote.
Pole!Shut Up!
Yaap hii ndio formula ya calculation, hasa ili kumuinua mwenye kima cha chini zaidi kuliko wa juu yakeOFF COURSE WOTE WAAJIRIWA WOTE WATAPATA NYONGEZA HII ILA "DIMINISHING RATE UP WARDS" ( SAMAHANI SIJUI VEMA KISWAHILI CHAKE ....ILA NI HIVI MWENYE MSHAHARA GHAFI WA 270,000/= AKIONGEZEWA 23.3%, ANAYEFUATA WA 320,000 ATAPATA NYONGEZA YA CHINI KATI YAKE NA ALIYEMFUATIA KWA TOFAUTI YA 5% AU ZAIDI KULINGANA NA MAAMUZI ( NA FEDHA ILIYOTOLEWA )
....HIVYO ATAPATA NYONGEZA YA 23.3% PUNGUZA 5% AU ZAIDI = 18.3 %AU CHINI YA 18.3 % ...
ITAENDA HIVI KWA KWENDA KIMA CHA JUU HADI TUIKUTE 0.001%. LIMIT
Huyo ni mtumishi wa Kanisa.Hapo nimeongea na mtumishi mmoja wa umma anasema hiyo nyongeza ya 23% ipo hivi.
Kama Kima cha chini cha mshahara ni laki tatu itakuwa hivi
300,000 × 0.23 = 69,000.
Kwa hiyo watumishi wote wa serikali wataongezewa 69,000 kwenye mishahara yao.
Kwa aliyekuwa analipwa
500,000+ 69,000 =569,000
600,000+69,000=669,000
700,000+69,000=769,000
1,000,000+69,000=1,069,000
Hivyo hivyo kwa mishahara ya ngazi zote.
Utaratibu ni upi?Hakuna utaratibu kama huo kwenye kupandisha mishahara !!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ache ku comment kama huna uwezo wa kuelewa.Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
wewe ni mbulula nenda kalale, huna akili, umeshaona wapi kitu kama hicho??? nikukumbushe tuu wee mbuzi kikwete 2015 Daraja D alilitoa toka 630,000/ hadi 716,000/= je hawa walikuwa kima cha chini??? nyiokoHuyo hajaelewa! Hapo hawajaongeza mshahara kwa asilimia 23.3%! Serikali imekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% kwa kila cha chini! Maana yake kwamba kama kila cha chini kilikuwa lakini mbili(200,00) inamaa itaongeza 23.3% kwa kimya hicho cha chini na kuwa kama 238,000/,=kwa maana hiyo 38,000/= ndo ongezeko kwa nagzi hiyo ya chini si kwa ngazi nyingine! Sio kuwa mshahara umepanda kwa asilimia 23.3% kwa wafanya kazi wote hapana!
Sisi tunataka wapunguze vitu vinavyosababisha mfumuko wa bei kisha hayo yatakaa sawa.Si ndio nyie asipopandisha mnaponda, alipandisha mnaponda
wewe umeongea ukweli mtupu! ndivyo ilivyo.Naelewa nachosema, nchi zote Duniani hutumia hiyo standard katika kuset mishahara. Unapongeza mshahara huwezi sema kila kada itakuwa hivi na hivi, Unataja kwa ujumla sasa kima cha chini kitapanda kwa % kadhaa, hapo una maanisha wengine wataongezeka kutokana na asilimia hizo hapo.
SERIKALI INAPANDISHWA MISHAHARA KWA WATUMISHI WAKE WOTE KWA UJUMLA NA RATE SAWA. MTATOFAUTINA POSHO KULINGANA NA TAASISI.
Na ndio ubora wa elimu yetu. Hili jambo linafafanuliwa tofautitofautiHakuna utaratibu kama huo kwenye kupandisha mishahara !!
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
achana na jobless hamna kitu wanajua.Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,
Watu wanabisha tu aisee
Mzee nenda taratibu, binadamu sisi hatujakamilika.Kwa hiyo tumvumilie maana muda bado anao wa kutosha.Rais Samia kwenye masuala mengine anajitahidi, yupo fast to act, which is good.
Ila kwenye mambo ya siasa anakuwa mgumu sana kuelewa mpaka pawepo na vikao vya maridhiano, tena hata kwenye masuala yaliyo wazi kisheria, ajabu sana; sijui wakina nani wanamdanganya, hajiamini.
hicho kichwa bora umpe ng'ombe wa mayele awe na vichwa viwili.Hiyo ni ya kima cha chini mkuu, sio wote.