NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 807
- 1,164
Ww sukuma gang...waache watumishi wafaidi uongozi shupavu wa mamaEla za nyongeza ya mishahara angeajili vijana wanaotapakaa mtaani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ww sukuma gang...waache watumishi wafaidi uongozi shupavu wa mamaEla za nyongeza ya mishahara angeajili vijana wanaotapakaa mtaani
Sawa walimu afya na je vp kuhusu sekta nyingine mbona hatusikiii mabadiliko ,vp kuhusu sera ya viwanda ,vp kuhusu uchumi Bei za bidhaa kuwa juu?? Ana maswali mengi yakuyajibu lakn kutokana na unawerness KaziendeleeImeishaa hapooView attachment 2224677
Wamepigwa wameekewa adi decimal hii nchi iko siku itapigwa Bei ,na kukopa wamekopa Tena usd billion kadhaaKiwango cha ongezeko la mshahara halijatajwa kwenye hiyo barua ila Rais ameridhia mapendekezo ya nyongeza.
Hiyo 23.3% ni ongezeko la kima cha chini cha mshahara.
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa,JK aliongeza kwa 30% mwaka 2012 hicho kima cha chini cha mshahara kutoka 150K to 180K.
Sawa endeleza ushabiki lakn si utarudi mtaani Hali ilivyo hao waliopo serikalin tunazungumzia 70% ni wazee wa miak ya 60 ,70 na 80 Sasa wee uliemaliz chuo jana anakuajili Nani?Ww sukuma gang...waache watumishi wafaidi uongozi shupavu wa mama
Mkuu Kuna watu wanasema et 23.3% ni kwa wale tu wa kima Cha chini.lakini Mimi ninavyojua ni kama wewe hivihivi,basic salary inaongezeka kwa 23.3% kwa wote ila take home itapungua kulingana na Kodi yako.NYONGEZA HIYO NI KWA WOTE 23.3% katika basic Salary.
Take home itabadilika kutokana na viwango vya kodi.
Shukuru matusi hayo wewe!Chadema mlikuwa mnamsifia Kenyatta kuongeza asilimia 15 mkatukana CCM na Raisi Mama Samia mbona siwaoni njooni huku mumsifie Raisi Mama Samia
Mumekalia kusifia nje tu maruhuni nyie msio na uzalendo.Mama Samia kavunja rekodi ya Kenyata mliyekuwa mkimsifia hadi mkawa mnajisikia haja kubwa kwa kumsifia
Nyongeza ya msharaha ikiwa kwenye mshahara ni kwa wote.Mkuu Kuna watu wanasema et 23.3% ni kwa wale tu wa kima Cha chini.lakini Mimi ninavyojua ni kama wewe hivihivi,basic salary inaongezeka kwa 23.3% kwa wote ila take home itapungua kulingana na Kodi yako.
What is annual Salary increament ?Naomba nitofautiane na wewe kimawazo kwanza nyongeza ya mishahara Kila mwaka siyo takwa la kisheria hilo uelewe isipokuwa annual salary increament ndiyo ipo kisheria kwa Kila mtumishi ndiyo maana ipo Kwenye barua ya Kila mtumishi ya ajira au kupanda daraja.Nirudi Kwenye hoja yako ya kumsifia Rais(mama) Kwenye hili nakujibu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Mimi nitamsifu na kumpongeza mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa 23.3%, kumlinganisha na mtangulizi wake ambaye aliwakalisha watumishi wa umma bila nyongeza ya mishahara kwa zaidi ya miaka sita.Mimi nitaendelea kumsifu na kumpongeza mhe Rais kwa kusikiliza kilio Cha watumishi wa umma hata kama ni ujinga wacha niwe mjinga.
yuko wapi ?Kwani yule aliyeamua kutofanya takwa la kikatiba mlimfanya nini?