Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Sio kweli,iko hivi mshahara huongezwa kwa kuzingatia kima cha chini,maana yake mtu wa kima cha chini anaongezewa asilimia kubwa ili kupunhuza gape kati yke na kima cha juu,kwa hiyo kama kima chini anapewa asilimia 23.3 wa juu yake atapunguziwa asilimia fomula inaenda hivyo hivyo hadi wa daraja la mwisho.
Kwa mantiki hii ni kwamba mtu anaepokea let us say 250,000*0.233 =58,250 then wa juu yake asilimia itashuka kidogo lakini pesa itakayoongezeka itakua kubwa kiasi kutogautisha na wa kima cha chini mfano anapokea 350,000*0.183= 64,050 na kuendelea
Kwa mantiki hii watumishi wote lazima wataona badiliko katika mishahara yao,na nyongeza haiwezi kua flat rate!
Ongezeko ni kwa Flat rate, huo upungufu unaousema ni adjustments za kodi kutokana na ongezeko la mshahara huo.
Ila nyongeza hucheza kwa pamoja kote.
 
Sukuma Gang hutawaona hapa.. samia anafanya ambayo mungu wao alishindwa kwa miaka 6 halafu bado Yanamuabudu kama Wafuasi wa nabii Zumarid
FB_IMG_1652530152701.jpg
mambo ya usukuma wetu yamekujaje hapa wewe?
Nduguyo huyo
 
Endeleeni kujipa matumaini mimi binafsi hawa wanasiasa nilishaacha kuwaamini mpaka wasemacho nikione kweli, mwaka jana walipunguza asilimia 2 kama sio moja za makato halafu mabadiliko yakawa 2000 flat rate haijalishi kima cha mshahara. 🤔🤔
 
Pongezi kwa Rais Samia kwa kusikia na kujibu KILIO CHA WATUMISHI WA UMMA, hakika watumishi walikuwa wanaishi maisha ya dhalala sasa Rais kawafuta machozi.
Sasa Chapeni Kazi kwa bidii na maarifa.
 
Bila Nguvu ya Wananchi usingeona Vitu kama Hivi! Huu wote ni msukumo kutoka Kwa Wananchi! Hata Mafuta watu wasingepiga kelele usingeona Serikali ikichukua Hatua yoyote! Jitambue kijana
Basi ngoja nikalikurupue la cc 3000.
 
Hakuna kitu hapo ni ujinga mtupu...habari ya chini ya kapeti ..serikali kuanza kuchapa pesa ili kuongeza mishahara ni upuizi wa hali ya juu sh inakwenda kuanguka vibaya hadi mwezi wa 12 bei ya mafuta itakuwa sh3600 hadi 4000 kwa lita moja
 
Kuna watu mnataka kutugombanisha na mama.Mimi nishajipigia hesabu zangu July nasubiri ongezeko la 23.3%ambavyo ni sawa na laki 223000.Maana mpaka sasa Zuhura Yunus hajatoa mchanganuo
 
Hivi humu wamo wanaoelekea kustaafu au watakaostaafu huko mbeleni?Kama wamo, wamesoma vizuri hilo tangazo mpaka mwisho?Kama ni ndiyo basi kuna tatizo la uelewa.
 
Back
Top Bottom