ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Ondoa upumbavu wako hapa! Kipi nimeandika tofauti na uhalisia, na nani kakuambia mimi ngosha.Ficha upuuzi na roho mbaya ngosha...
Nchi ina mipumbavu mingi sana hii...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ondoa upumbavu wako hapa! Kipi nimeandika tofauti na uhalisia, na nani kakuambia mimi ngosha.Ficha upuuzi na roho mbaya ngosha...
Ongezeko ni kwa Flat rate, huo upungufu unaousema ni adjustments za kodi kutokana na ongezeko la mshahara huo.Sio kweli,iko hivi mshahara huongezwa kwa kuzingatia kima cha chini,maana yake mtu wa kima cha chini anaongezewa asilimia kubwa ili kupunhuza gape kati yke na kima cha juu,kwa hiyo kama kima chini anapewa asilimia 23.3 wa juu yake atapunguziwa asilimia fomula inaenda hivyo hivyo hadi wa daraja la mwisho.
Kwa mantiki hii ni kwamba mtu anaepokea let us say 250,000*0.233 =58,250 then wa juu yake asilimia itashuka kidogo lakini pesa itakayoongezeka itakua kubwa kiasi kutogautisha na wa kima cha chini mfano anapokea 350,000*0.183= 64,050 na kuendelea
Kwa mantiki hii watumishi wote lazima wataona badiliko katika mishahara yao,na nyongeza haiwezi kua flat rate!
Sukuma Gang hutawaona hapa.. samia anafanya ambayo mungu wao alishindwa kwa miaka 6 halafu bado Yanamuabudu kama Wafuasi wa nabii Zumarid
Mtalishwa sana matango pori😂😂watu wanapush ajenda zao kupitia hayaNimeikuta sehem View attachment 2224568View attachment 2224569
Basi ngoja nikalikurupue la cc 3000.Bila Nguvu ya Wananchi usingeona Vitu kama Hivi! Huu wote ni msukumo kutoka Kwa Wananchi! Hata Mafuta watu wasingepiga kelele usingeona Serikali ikichukua Hatua yoyote! Jitambue kijana
Hongereni watumishi, hatimaye mmeula ( mmelamba asali).Daa,bonge la zari
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
View attachment 2224213View attachment 2224214
Bado mbonaHongereni watumishi, hatimaye mmeula ( mmelamba asali).
Hii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
TGTS E1 naona jamaa aliuliza hapa kuwa mshahara wake ni 940,000 nkamfanyia adjustment yake naona hapo imekuja kama nilivyocalculate.Nimeikuta sehem View attachment 2224568View attachment 2224569
Mama anaupiga mwingi.