Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Lazima apewe pongezi coz aliepita hii sheria ilikuepo ila hakuifata mbona mkawa mnalalamika huyu kaifata kwann asipewe pongezi
Tulilaumu yule kwa kuvunja sheria , na pia tumpongeze huyu kwa kuanza kuijua katiba , si kwa kuongeza ambavyo amelazimishwa na Katiba
 
Nyongeza ya mishahara Kila mwaka = annual salary increment. Kizungu kinakuchanganya nini?
Naomba nitofautiane na wewe kimawazo kwanza nyongeza ya mishahara Kila mwaka siyo takwa la kisheria hilo uelewe isipokuwa annual salary increament ndiyo ipo kisheria kwa Kila mtumishi ndiyo maana ipo Kwenye barua ya Kila mtumishi ya ajira au kupanda daraja.Nirudi Kwenye hoja yako ya kumsifia Rais(mama) Kwenye hili nakujibu mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Mimi nitamsifu na kumpongeza mhe Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa 23.3%, kumlinganisha na mtangulizi wake ambaye aliwakalisha watumishi wa umma bila nyongeza ya mishahara kwa zaidi ya miaka sita.Mimi nitaendelea kumsifu na kumpongeza mhe Rais kwa kusikiliza kilio Cha watumishi wa umma hata kama ni ujinga wacha niwe mjinga.
 
Nampongeza Samia kwa kuiheshimu Katiba yetu.
Swadakta ! Unajua kuna ule uzushi kwamba "Mama katoa hela ya barabara au sijui ya mradi fulani , au sijui hela ya mama hailiwi " kiukweli mama hana hata shilingi na wala halipi hata kodi , hii ni hela ya Nchi , na hata yeye mwenyewe analipwa Mshahara na marupurupu kutokana na hela hii hii ya Umma , inakuwaje tunaambiwa ni hela yake ? hatutakubali hata kwa bunduki .
 
Nyongeza ya msharaha ikiwa kwenye mshahara ni kwa wote.
Anayelipwa 400,000 itaongezeka 23.3%
Na anayelipwa mil 6 itaongezeka 23.3%

Ila kwenye Kodi, huyo wa mil 6 Kodi yake inaweza kumega hiyo nyongeza hadi kwa 40%
Samahani, kwa ushahidi upi ?
Kwanini Barua haisemi hivyo ?
Wengine wanasema tu ongezeko la asilimia kadhaa basi na imeeleweka kwa kila mhusika.
Yetu macho.
 
Samahani mkuu, unafanya kazi TCRA? Maana niliona wajuvi humu wakisema huo ndo mshahara wa afisa wa kawaida huko TCRA.

Kama ni serikali kuu, kwa hilo lifiga, unapaswa kuwa unajua kinachoendelea au utumbuliwe tu, hamna namna.
Nipo serikali kuu, niliondolewa katika taasisi moja ya serikali nikapelekwa serikali kuu
 
Huyo hajaelewa! Hapo hawajaongeza mshahara kwa asilimia 23.3%! Serikali imekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% kwa kila cha chini! Maana yake kwamba kama kila cha chini kilikuwa lakini mbili(200,00) inamaa itaongeza 23.3% kwa kimya hicho cha chini na kuwa kama 238,000/,=kwa maana hiyo 38,000/= ndo ongezeko kwa nagzi hiyo ya chini si kwa ngazi nyingine! Sio kuwa mshahara umepanda kwa asilimia 23.3% kwa wafanya kazi wote hapana!
Du,inamaana Mimi ninayepata 420000,hiyo 23.3% hainihusu
 
Kuongeza mishahara aitatusaidia hali kuna bidhaa ambazo ni muhimu kila kukicha zinapanda bei na sio watanzania wote ni wafanyakazi . Mimi nafikiri jambo la msingi ni kuwapa unafuu wananchi katika bidhaa muhimu wanazotumia kila siku. Wanaokula keki ya taifa ndio wanaozidi kufaidi hali mtu asie na kazi anaumizwa ktk bidhaaa
Haitakusaidia wewe
 
Ni kweli kabisa nimeamini wengi hatujui kusoma
Kwani we jamaa una nini!?? Funza kichwani!?? Au maggots!??
download.jpeg
 
Mambo ya Sukuma Gang yanaingiaje hapa?
Yaani watu kama nyie ndio mliokuwa mnawaponza walimu wenu wanaonekana hawajui kufundisha.
Achana na Hilo zezete,ni majitu ambayo hayajielewi kazi ni kushangilia Kila kitu kinachotokea,sukuma gang sijui linamanisha Nini,Mimi nayaonaga masenge tu,ndo hayo yanayolalamika maisha magumu Kila siku,yanategemea serikali iwape chakula bila kufanyakazi,siku serikali ikisema hailipi kabisa mshahara utaona wanashawishi maandamano,
 
asante ila unasogeza wengine kwa rate ipi au ni 23% hiyo hiyo watu hapana elewa
Aliyekuwa na kima Cha kati anawezakupata 10%,na kima Cha juu inawezakuwa ni 5% tu,hiyo 23.3% ni ya kima Cha chini haiwezekani wa kima Cha chini na yule kima Cha juu mkapata asilimia sawa,wengi hawaelewi hilo
 
Rais Samia kwenye masuala mengine anajitahidi, yupo fast to act, which is good.

Ila kwenye mambo ya siasa anakuwa mgumu sana kuelewa mpaka pawepo na vikao vya maridhiano, tena hata kwenye masuala yaliyo wazi kisheria, ajabu sana; sijui wakina nani wanamdanganya, hajiamini.
Usimlaumu sana hili dudu CCM sio la mtu mmoja hawa kwenye maslahi ya mustakabali wa chama chao hawana mchezo mambo ya kisiasa magumu kuamua peke yake ni chama kumbuka hata Kikwete alijaribu pamoja na nguvu zako kwenye chama na ushawishi mkubwa lakini alishindwa.
 
Naomba nieleweshwe; 23% imeongezeka kwa kile kima cha chini tu au wote?

TUCTA walisema wanataka tzs 1,050,000 kama kima cha chini, hii ingekuwa ni ongezeko la asilimia ngapi?

Kima cha chini ni tzs ngapi?

Mwinyi aliongeA 15% kwa wote au kima cha chini?

Asanteni
Kuongeza kwa wote sio sawa unaweka kima cha chini kiasi hicho na kila aliyejuu atapata kidogo sababu ukitoa 23% flat kwa wote gap baina ya mtu wa chini na juu itazidi kuwa kubwa sana italeta shida sana lazima ume maintain % gap kwa wajuu na wa chini kwa mfano mwepesi mtu wa chini na wa juu tofauti ni Sh 100 sasa ukimpa wa chini sh 20 nyongeza na wa juu utampa 20 ukisema utoe 20% kwa wote huyu wa chini kama alikuwa analipwa 100 atapata 120 sasa wajuu kama alikuwa 200 atapata 240 gap badala ya mia litakuwa 120 sasa kwa maana hiyo kwa usawa wa chini akipata 20% basi wajuu atapata 10% gap itabaki 100.
 
Kuongeza mishahara aitatusaidia hali kuna bidhaa ambazo ni muhimu kila kukicha zinapanda bei na sio watanzania wote ni wafanyakazi . Mimi nafikiri jambo la msingi ni kuwapa unafuu wananchi katika bidhaa muhimu wanazotumia kila siku. Wanaokula keki ya taifa ndio wanaozidi kufaidi hali mtu asie na kazi anaumizwa ktk bidhaaa
Wanashangilia naona hawana miradi ya ujenzi,hiyo asilimia iliyoongezwa ebu waende wakaulize bei ya nondo rola Moja waone,bati,sementi na vifaa vingine vya ujezi,hiyo asilimia itawasaidia kuilipia chumba Cha kupanga Kwa mwezi elfu 50 tu,sijajua watu wanashangilia Nini wakati vitu vimepanda bei sana,hiyo 23.3% kama huna shuguli zingine utabaki ukipiga marchtime hapohapo bila kusogea popote
 
Back
Top Bottom