Trust None
JF-Expert Member
- Feb 12, 2018
- 1,260
- 4,419
Hao ajirapeak.com siyo tovuti ya serikali, wamejiandikia tuImeisha hiyooView attachment 2224670
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao ajirapeak.com siyo tovuti ya serikali, wamejiandikia tuImeisha hiyooView attachment 2224670
Je kama ni kima cha chini tu ndio waongeze bajeti ya serikali kwa 1.59 trilioni kwa mwaka? Wako wangapi?itakuwa ni kazi bure sasa.....ina maana wafanyakazi wa kima cha chini wao ni spesho !!..
Miaka 6 si mchezo,mpaka watu wamesahau utaratibu.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mna wasiwasi kuwa halitotekelezeka?Bado hatujapewa mkuu,ngoja tusubiri
What is annual Salary increament ?
KISWAHILI sio lelemama ndugu....yani kichwa cha habari ya barua ile ni kupanda kwa mshahara ..... na pale chini kwenye maelezo sasa wameweka neno IKIWEMO na kima cha chini..Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,
Watu wanabisha tu aisee
Ni kweli ila umekosea ku quote kidogo barua inasema "...amekubali ongezeko la mshahara IKIWEMO kima cha chini kwa 23%... ". Yaani neno ongezeko limeanza halafu wakamalizia na IKIWEMO kima cha chini then asilimia ikafuata.Tusome barua vizuri "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% IKIWEMO kima cha chini.
Mpangilio wa nyongeza za mishaharaNi kweli ila umekosea ku quote kidogo barua inasema "...amekubali ongezeko la mshahara IKIWEMO kima cha chini kwa 23%... ". Yaani neno ongezeko limeanza halafu wakamalizia na IKIWEMO kima cha chini then asilimia ikafuata.
Zuhura Yunus amejua kuleta mjadala kwa maneno yake aliyotumia
Hapo umemaliza Mchezo na kelele Jf mkuuMpangilio wa nyongeza za mishaharaView attachment 2224994
Nimekapiga kahesabu kulingana na kamshahara kangu...mkuu usipime.Huyu mama hakika Ni mjumbe wa Mungu, sikutegemea Kama mwaka huu nitapata nyongeza ya pesa mingi hivi, huyu mama sio mitano tu, tumpe atawale milele.
Mungu amjalie mama Kila lililo jema kwake
Sahihi kabisa, japo Kuna watakaokubishia Ila huo ndo ukweli, anaebisha either si mtumishi, au mwl wa kiswahili au pengine sukuma gangNYONGEZA HIYO NI KWA WOTE 23.3% katika basic Salary.
Take home itabadilika kutokana na viwango vya kodi.
Wakipata watwambie ,Ili tumpongezeMhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
View attachment 2224213View attachment 2224214
Msipende ongea ovyo angalia na dhamani ya pesa yakoWatanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Tulimtanguliza!Kwani yule aliyeamua kutofanya takwa la kikatiba mlimfanya nini?
Nitaiamini ikitoka kwenye tovuti ya serikali au kwenye mwongozo, hii ya kujitengenezea siyo!Mpangilio wa nyongeza za mishaharaView attachment 2224994
Ameongeza kwa watumishi wote ikiwemo kima cha chiniHii 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa Watumishi wa Umma? Ina maana gani hasa? Msishangilie kwa hili
Hapo mwenye basic 940000 zidisha mara 23.3 gawanya kwa 100 ndipo utapata alichoongezewaKwani kwa sasa kima cha chini ni sh ngapi?
Set up ya mshahara inaanzia chin kwa maana hiyo mshahara huu utaongezeka kati ya 60000_ 80000 kwa watumishiAfadhali wewe umeliona hilo. Unless otherwise mwandishi naye kiswahili kwake ni taabu, Lakini tafsiri ya aya ya kwanza ni hii.
1. Rais amekubali kuongeza mshahara kwa kiasi ambacho bado hakijawekwa wazi na ameongeza pia kima Cha chini kwa 23.3/%
2. Rasi amekubali kuongeza mshahara kwa 23.3% na kima Cha chini kwa 23.3%.
Sera ya viwanda sio maigizo na Sarakasi za Jiwe bali ni vitendo vinavyoonekana ..Sawa walimu afya na je vp kuhusu sekta nyingine mbona hatusikiii mabadiliko ,vp kuhusu sera ya viwanda ,vp kuhusu uchumi Bei za bidhaa kuwa juu?? Ana maswali mengi yakuyajibu lakn kutokana na unawerness Kaziendelee
Sisi kama Watanzania hii imekuwa kama 'Kasumba' sijui tumeitowa wapi nadhani ni kwa Nyerere.Swadakta ! Unajua kuna ule uzushi kwamba "Mama katoa hela ya barabara au sijui ya mradi fulani , au sijui hela ya mama hailiwi " kiukweli mama hana hata shilingi na wala halipi hata kodi , hii ni hela ya Nchi , na hata yeye mwenyewe analipwa Mshahara na marupurupu kutokana na hela hii hii ya Umma , inakuwaje tunaambiwa ni hela yake ? hatutakubali hata kwa bunduki .