Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Uzuri wako mkuu Erythrocyte ni huu huwa unauliza usipojua asante karibu sasa nikueleweshe taratibu.Annual salary increament ni fedha anayopaswa mtumishi wa umma kuongezewa Kila mwaka wa fedha mpya unapoanza kulingana na daraja alilopo Kwa mfano mtumishi wa TGTS D1 ataongezwa fedha kubwa kuliko yule wa TGTS C1 Kwa kuwa TGTS D1 ni daraja kubwa kuliko TGTS C1.Na Kila daraja hapo juu mtumishi anapaswa kulitumikia si chini ya miaka mitatu ili awe promoted kwenda daraja jingine haya madaraja ni uhalisia kwa kada ya ualimu. Hii sasa ipo kisheria Kwa kuwa Kila mtumishi anapokuwa katika daraja fulani anakuwa na barua ya daraja lake na inaonyesha annual salary increament kwa daraja lake ni kiasi gani kwa mwaka.Hata hii haki kwa utawala wa awamu ya tano watumishi wa umma hawakupewa huku vyama vya wafanyakazi kama TUCTA na CWT vikiwa kimya. Kwa nini nimesema hii ipo kisheria Kwa sababu hata barua ya daraja husika inaonyesha hiki kitu hivyo mtu anaweza kwenda kuidai hata Mahakamani. Kuhusu nyongeza ya mishahara haiko kisheria Kwa maana hakuna mahali inasemwa mtumishi wa Umma anapaswa kuongezewa kiasi fulani Cha fedha kwa mwaka japo Katiba imesema kuwa watumishi wa umma wanapaswa kupata nyongeza ya mishahara na promotion lakini sidhani kama unaweza kwenda Mahakamani kuidai.Badala yake mhe Rais anaweza kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kwa kuangalia Pato la taifa na mfumuko wa bei lkn hakuna limitation ni utashi wake anaweza sema anaongeza asilimia 5%, 10% au hata 30%.
Kwa mantiki hii binafisi nina Kila sababu ya kumshukuru na kumpongeza mhe Rais Samiah Suluhu Hassan kwa upendo wake mkubwa wa kujali masrahi ya watumishi wa umma.
What is annual Salary increament ?
 
Kwenye andiko imeanikwa ikiwemo kima cha chini, na sio kwa kima cha chini,

Watu wanabisha tu aisee
KISWAHILI sio lelemama ndugu....yani kichwa cha habari ya barua ile ni kupanda kwa mshahara ..... na pale chini kwenye maelezo sasa wameweka neno IKIWEMO na kima cha chini..
Hawa wanaokaza shingo hapa kuwa 23.3% ni ya kima cha chini tu ndio wale waliosema watumishi wa umma walie tu nyongeza mwaka huu hakuna.

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Tusome barua vizuri "Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekubali ongezeko la mshahara kwa 23.3% IKIWEMO kima cha chini.
Ni kweli ila umekosea ku quote kidogo barua inasema "...amekubali ongezeko la mshahara IKIWEMO kima cha chini kwa 23%... ". Yaani neno ongezeko limeanza halafu wakamalizia na IKIWEMO kima cha chini then asilimia ikafuata.

Zuhura Yunus amejua kuleta mjadala kwa maneno yake aliyotumia
 
Ni kweli ila umekosea ku quote kidogo barua inasema "...amekubali ongezeko la mshahara IKIWEMO kima cha chini kwa 23%... ". Yaani neno ongezeko limeanza halafu wakamalizia na IKIWEMO kima cha chini then asilimia ikafuata.

Zuhura Yunus amejua kuleta mjadala kwa maneno yake aliyotumia
Mpangilio wa nyongeza za mishahara
Screenshot_20220515-073358.jpg
 
Hongreni sana Wafanyakazi,hatimaye mmekumbukwa baada ya maumivu ya miaka mingi bila nyongeza ya mshahara.Mchape kazi sasa,muongeze uzalishaji taifa lisonge mbele.Hongera madam President kwa hatua hii.Something is better than nothing.
 
NYONGEZA HIYO NI KWA WOTE 23.3% katika basic Salary.
Take home itabadilika kutokana na viwango vya kodi.
Sahihi kabisa, japo Kuna watakaokubishia Ila huo ndo ukweli, anaebisha either si mtumishi, au mwl wa kiswahili au pengine sukuma gang

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Watanzania walivyo WAPUMBAVU wapo ambao watapinga na kutoka kejeli hata kwa hili la kuongeza mishahara kwa 23.3% tena TZ ikiongoza kwa nyongeza kubwa zaidi ya Mishahara EAC.
Msipende ongea ovyo angalia na dhamani ya pesa yako
 
Afadhali wewe umeliona hilo. Unless otherwise mwandishi naye kiswahili kwake ni taabu, Lakini tafsiri ya aya ya kwanza ni hii.

1. Rais amekubali kuongeza mshahara kwa kiasi ambacho bado hakijawekwa wazi na ameongeza pia kima Cha chini kwa 23.3/%
2. Rasi amekubali kuongeza mshahara kwa 23.3% na kima Cha chini kwa 23.3%.
Set up ya mshahara inaanzia chin kwa maana hiyo mshahara huu utaongezeka kati ya 60000_ 80000 kwa watumishi
 
Sawa walimu afya na je vp kuhusu sekta nyingine mbona hatusikiii mabadiliko ,vp kuhusu sera ya viwanda ,vp kuhusu uchumi Bei za bidhaa kuwa juu?? Ana maswali mengi yakuyajibu lakn kutokana na unawerness Kaziendelee
Sera ya viwanda sio maigizo na Sarakasi za Jiwe bali ni vitendo vinavyoonekana ..

Samia sio poyoyo wala maneno mane kama yule mtu wenu 👇

Screenshot_20220513-160416.png


Screenshot_20220513-160510.png


Screenshot_20220514-213842.png


Screenshot_20220513-104418.png


Screenshot_20220511-202149.png


Screenshot_20220410-085948.png


Screenshot_20220327-172335.png


Screenshot_20220310-070512.png


Screenshot_20220310-191102.png
 
Swadakta ! Unajua kuna ule uzushi kwamba "Mama katoa hela ya barabara au sijui ya mradi fulani , au sijui hela ya mama hailiwi " kiukweli mama hana hata shilingi na wala halipi hata kodi , hii ni hela ya Nchi , na hata yeye mwenyewe analipwa Mshahara na marupurupu kutokana na hela hii hii ya Umma , inakuwaje tunaambiwa ni hela yake ? hatutakubali hata kwa bunduki .
Sisi kama Watanzania hii imekuwa kama 'Kasumba' sijui tumeitowa wapi nadhani ni kwa Nyerere.

Itachukua mufa mrefu kupotea.
 
Back
Top Bottom