Theb
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 3,927
- 7,276
Hapo kwenye kikokoteo mimi nashindwa kukubaliana nao. Kwanini mtu apangiwe namna ya kuichukua hela yake yamafao..? Ingependeza mkasikiliza wapokeaji wa hayo.mafao yaani wahusika/wanaostaafu. Na lingine kama wapo wanaokubaliana na hivyo vikokoteo vyenu basi fanyeni kuweka option mbili. Wanaokubali wajaze form kuwa watapokea kwa hizo asilimia na kwa wasiokubali wapewe hela zao zote wakistaafu nadhani itasaidia mno.Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.
View attachment 2224213View attachment 2224214