Rais Samia akubali ongezeko la asilimia 23.3 kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akubali ongezeko la 23.3% kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma.

View attachment 2224213View attachment 2224214
Hapo kwenye kikokoteo mimi nashindwa kukubaliana nao. Kwanini mtu apangiwe namna ya kuichukua hela yake yamafao..? Ingependeza mkasikiliza wapokeaji wa hayo.mafao yaani wahusika/wanaostaafu. Na lingine kama wapo wanaokubaliana na hivyo vikokoteo vyenu basi fanyeni kuweka option mbili. Wanaokubali wajaze form kuwa watapokea kwa hizo asilimia na kwa wasiokubali wapewe hela zao zote wakistaafu nadhani itasaidia mno.
 
Serikali wanazingua mno,sidhani kama mbunge na viongozi wengine wa kitaifa nao hupewa mafao yao kwa kupangiwa kijinga kijinga namna hii...yani unaanzaje kunipangia matumizi juu ya hela yangu?, Wapeni watu pesa zao then watajua namna ya kuzitumia.
 
Halafu ukizeeka hauna hata shilingi mwisho wa mwezi utasema Serikali haikujali wakati umeitumikia miaka yote, kuna sababu kwa nini ikaitwa mafao ya uzeeni, ukitaka pesa ya kuweka na kuchukua muda wowote kaweke benki!
 
Mkuu Kuna watu wanasema et 23.3% ni kwa wale tu wa kima Cha chini.lakini Mimi ninavyojua ni kama wewe hivihivi,basic salary inaongezeka kwa 23.3% kwa wote ila take home itapungua kulingana na Kodi yako.
Kuna mtu kafafanua kupitia video ianyo sambaa mitandaoni. Asilimia zitapungua kadricunavyo kuwa na mshahara wa juu
 
Serikali wanazingua mno,sidhani kama mbunge na viongozi wengine wa kitaifa nao hupewa mafao yao kwa kupangiwa kijinga kijinga namna hii...yani unaanzaje kunipangia matumizi juu ya hela yangu?, Wapeni watu pesa zao then watajua namna ya kuzitumia.
Eti wanasema wanazitumia vibaya sijui zinaisha haraka. Bora wajikite kuwaeleimisha jinsi ya kujiwekea mikakati kuanzisha muda huu waliopo kazini. Wapo wa staafu walichukua mafao yao na kuanzisha shule na wakawaajiri watoto wao wanasimamia miradi hiyo. Sasa mm nauliza je hawaoni kuwa kupitia hizo pension kuna watu wanajenga nyumba zao za kuishi maana hawana paku kaa miaka yote walikua wamepanga au wanaishi nyumba za serikali au kampuni
 
Kama mshahara wa mwalimu ni degree ni 756,000/= kwa mwezi ...

Kama mama kaongeze asilimia 23.3% maana yake kwa mwezi mwalimu huyo atakuwa anapata ngapi ...?

23.3/100 ×756,000=176,148

Kwa hivyo basi baada ya kuongeza mshahara maana yake mwalimu wa degree anaenda kupata ...

756,000+176,148= 932,148 kwa mwezi ....

Au Mimi nawaza tofauti wadau ?????
Uko tofauti, kadri mshahara unavyokuwa mkubwa asilimia inapungua. Ila wao ndo wanajua inavyopungua. Ila hata hivyo ukiwa na mshahara mkubwa ongezeko la mshahara nalo bado ni kubwa tu.
 
Set up ya mshahara inaanzia chin kwa maana hiyo mshahara huu utaongezeka kati ya 60000_ 80000 kwa watumishi
Tukiwa tunasubiri watu waone hiyo 23 naomba niibe haka kapicha
Screenshot_20220515-150408.png
 
Halafu ukizeeka hauna hata shilingi mwisho wa mwezi utasema Serikali haikujali wakati umeitumikia miaka yote, kuna sababu kwa nini ikaitwa mafao ya uzeeni, ukitaka pesa ya kuweka na kuchukua muda wowote kaweke benki!
Wawafundishe namna yakuwekeza ili.hiyo ya mafao waiendeleze. Kuna ambao hawana Nyumba hivyo wakipewa hizo wanajenga wapate pakuishi. Wengine waliojiweka sawa wakipata hizo wanaweka miradi au wanaongezea walipoishia. Kwangu mimi naone ziwepo options mbili za wanaotaka hela zao zote na wanaotaka kdgo kdgo. Ila kubwa zaidi wapewe uelewa kidgo katika namna ya kujiongoza kwenye uwekezaji. Wapo watumishi waliotaafu na wakaitumia pension yao kujikwamua wao na familia zao na wakapiga hatua kubwa mno.
 
Hilo haliwezekani, mifuko inaweza tu kufanya kazi kama inachangiwa na kila mtu kwa miaka labda 15-20/30 ya kazi, sasa kila mtu akichukuwa kabla ya muda wanaostaafu watalipwa kwa fedha gani?

Kumbuka unavyokatwa siyo kwamba unawekeza pesa yako na kwamba utarudishiwa chote ulichokatwa, hapana, unakatwa ili kulipia wengine wanaostaafu sasa hivi na wewe pia ukija kustaafu utalipiwa pia na vijana watakao kuwa wanafanya kazi kipindi wewe umezeeka, ndivyo ilivyo hivyo!
 
Kweli kabisa hapo inahitaji ufafanuzi..

Itakua sio nyongeza ya mshahara bali nyongeza ya kima cha chiini kwa mshahara wa serikali na sekta binafsi nchini.
Hiyo ni ongezeko kwa kima cha chini cha mshahara kwa watumishi wa umma tu (watumishi wa serikali). Kima cha mshahara kikiwa ni cha juu ya hapo asilimia inapungua. Sekta binafsi inategemea na uchumi wa makampuni/taasisi zao
 
Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Serikali kuangalia na kupunguza UMRI wa kustaafu watumishi wa Umma.

Umri wa kustaafu upunguzwe uwe Miaka 50 kustaafu kwa hiari na miaka 55 iwe ni umri wa kustaafu kwa Lazima.

ili vijana nao wapate ajira, maana kuna wazee wanataka kuifia kazini, wanaziba nafasi za vijana.

UMRI wa kustaafu upunguzwe
kuwepo kwa ajira za mkataba kwa kazi za msingi.
 
Hilo haliwezekani, mifuko inaweza tu kufanya kazi kama inachangiwa na kila mtu kwa miaka labda 15-20/30 ya kazi, sasa kila mtu akichukuwa kabla ya muda wanaostaafu watalipwa kwa fedha gani?

Kumbuka unavyokatwa siyo kwamba unawekeza pesa yako na kwamba utarudishiwa chote ulichokatwa, hapana, unakatwa ili kulipia wengine wanaostaafu sasa hivi na wewe pia ukija kustaafu utalipiwa pia na vijana watakao kuwa wanafanya kazi kipindi wewe umezeeka, ndivyo ilivyo hivyo!
Hujanielewa mkuu. Mm nimemaanisha wapewe hela zao muda wao wakustaafu ukisha fika wasiambiwe sijui wapewe asilimia kdgo mara asilimia nyingine walipwe kidgo kdgo hilo ndilo ambalo mm nimekinzana nalo. Na nikasisitizia kwa wale wasio na ufahamu katika utafutaji basi wapewe elimu ya kuiwekeza hiyo pesa ili iwasaidie isipoteee na pia kama wapo ambao hawana makazi hivyo waliipata hiyo pesa ndio wanaitumia kujijengea makazi.
 
Sorry, sikukusoma vizuri!
 
Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa Serikali kuangalia na kupunguza UMRI wa kustaafu watumishi wa Umma.

Umri wa kustaafu upunguzwe uwe Miaka 50 kustaafu kwa hiari na miaka 55 iwe ni umri wa kustaafu kwa Lazima.

ili vijana nao wapate ajira, maana kuna wazee wanataka kuifia kazini, wanaziba nafasi za vijana.
Serikali Haina hela ya kulipa viinua mgongo... Usifikiri watu wanapenda kukaa maofisini hadi 60 years.. fao la kujitoa limesitishwa
 
Back
Top Bottom