Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
5,352
Reaction score
15,876
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
504984c2-0517-436d-a6f3-113efc10b155.jpeg
d6a0c8f2-1d49-4244-937c-e468060f2a00.jpeg
598e26f8-23b6-4b83-92b0-95783b2a4290.jpeg
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKAb
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
Mkuu Rovi, Roving Journalist , thanks for this!, this is a very good news!, hii ni dalili njema ya mazingira ya ujenzi wa oil refinery kujengwa Tanga, Tanzania na sio Mombasa Kenya!. Wale wenye jicho la kumulikia fursa, kama una tuhela twako for long time investment, then think of real estate investment in Tanga!, kwa sasa ardhi ya Tanga ni kama bure!, the time to acquire land is now!, sio kusubiri hadi mou imesainiwa, bei za viwanja sasa hivi zitapaa!.

Watashuka Wachina hapa na kununua kila kitu, kisha Watanzania tubaki tuna bun'gaa bun'gaa!.

Nawaomba wana jf ambao ni in for development, please lets forget a bit about 29 October, what happened has happened, maisha lazima yaendelee!.

Hizi sasa ndio the ideal picha za kuangalia for easy Sunday, kumuona mtu wetu akiwa patakatifu petu na watu wa kueleweka, wakipiga picha za kueleweka na poses za kueleweka, sio zile picha za yule tipwa tipwa bonge nyanya wa kule akijiachia kwenye sofa zetu!.
Big up sana kwa picha hizi!
P
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA

AMKENI WATANGANYIKAb
Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweli
 
Mkuu Rovingi, Roving Journalist , thanks for this!, this is a very good news!, hii ni dalili njema ya mazingira ya ujenzi wa oil refinery Tanga. Wale wenye jicho la kumulikia fursa, kama un tuhela twako for long time investment, then think of real estate investment in Tanga!, kwa sasa ardhi ya Tanga ni kama bure!, the time to acquire land is now!, sio kusubiri hadi mou imesainiwa, bei za wiwanja sasa hivi zitapaa!.

Watashuka Wachina hapa na kununua kila kitu, kisha Watanzania tubaki tuna bun'gaa bun'gaa!.

Nawaomba wana jf ambao ni in for development, please lets forget a bit about 29 October, what happened has happened, maisha lazima yaendelee!.

Hizi sasa ndio the ideal picha za kuangalia for easy Sunday, kumuona mtu wetu akiwa patakatifu petu na watu wa kueleweka, wakipiga picha za kueleweka na poses za kueleweka, sio zile picha za yule tipwa tipwa bonge nyanya wa kule akijiachia kwenye sofa zetu!.
Big up sana kwa picha hizi!
P
Mkuu bado tu hawajakuona hao CCM angalau wakupe hata kufagia tu ikulu. Maana umri unaenda ndugu harafu jamaa wako kimya tu
 
Back
Top Bottom