Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

Dangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
Minyumbu wakati mwingine inakuwa kama imekalia nanihii maneno yao. Najua hilo ndo ombi/tamanio lako lakini ndo hivyo Mungu amewageuzia kisogo na unafiki wenu. Amewekeza, anawekeza na atawekeza zaidi. Wengine nao wamewekeza, wanawekeza na watakuja kuwekeza zaidi mzidi kuchanganyikiwa mamamamae!!
 
Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweli
Kuna kosa la kuvunja katiba limefanyika kwenye hizo so called "Hekaheka"?
 
Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweli
Hiyo mikutano ipigwe marufuku kabsaa hadi 2030
Itungwe sheria yakusema baada ya uchaguzi mkuu hana tena shughuli za kisiasa hadi mwaka wa uchaguzi tena
 
Uongo gani hapo nyie machoko wa CCM kwani hamkuua Watanganyika ili Mzanzibari aitawale Tanganyika?
Na tuone mkaandamane 7/7 muone vishindo vya Wazanzibari, mtakula vyuma vya matako 🤨
 
CCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....

1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.

2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK

3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.

4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.

5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.

6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.

7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari

CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA


AMKENI WATANGANYIKAb
Hata hivyo we ni lofa unataja nchi ambayo haipo, CCM itaongoza nchi hii miaka zaidi ya 100 kwa wapumbavu km nyie nyumbu
 
Back
Top Bottom