Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Dangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuajiRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617596View attachment 3617597View attachment 3617598
Tanzania haiwezi ikaribia Nigeria kwa ufisadi na mauaji ila Dangote ndio kawekeza zaidi uko.Dangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
Ile dangote cement ipo Kenya!?..usihangaike na misukuleTanzania haiwezi ikaribia Nigeria kwa ufisadi na mauaji ila Dangote ndio kawekeza zaidi uko.
Iraq wamepigana miaka kibao na bado wametukopesha we unaleta maneno hapa.
Hiyo ilijengwa wakati wa mauaji ya huyo duli wako?Ile dangote cement ipo Kenya!?..usihangaike na misukule
Tujulishwe basi kama Mama Samia kavuka kikwazo?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617596View attachment 3617597View attachment 3617598
Hongera mama, Sasa hawa ndio watu wakuingia IKULU ya Tanzania na siyo lile li tumbo tumbo tapeli na fisadi la Wazim!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617596View attachment 3617597View attachment 3617598
Kuiondoa hawezi,unajua kuna FDI kiasi gani kwenye utawala huu?Hiyo ilijengwa wakati wa mauaji ya huyo duli wako?
FDIs are subject to dwindling owing to uncertainties prevailing in the the country following the disputed elections and killingsKuiondoa hawezi,unajua kuna FDI kiasi gani kwenye utawala huu?
Mkuu Rovi, Roving Journalist , thanks for this!, this is a very good news!, hii ni dalili njema ya mazingira ya ujenzi wa oil refinery kujengwa Tanga, Tanzania na sio Mombasa Kenya!. Wale wenye jicho la kumulikia fursa, kama una tuhela twako for long time investment, then think of real estate investment in Tanga!, kwa sasa ardhi ya Tanga ni kama bure!, the time to acquire land is now!, sio kusubiri hadi mou imesainiwa, bei za viwanja sasa hivi zitapaa!.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
kwa hiyo wale wawekezaji kule Geita na Mara ni wapumbavu ?Dangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweliCCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA
AMKENI WATANGANYIKAb
well done Dr Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617596View attachment 3617597View attachment 3617598
Mkuu bado tu hawajakuona hao CCM angalau wakupe hata kufagia tu ikulu. Maana umri unaenda ndugu harafu jamaa wako kimya tuMkuu Rovingi, Roving Journalist , thanks for this!, this is a very good news!, hii ni dalili njema ya mazingira ya ujenzi wa oil refinery Tanga. Wale wenye jicho la kumulikia fursa, kama un tuhela twako for long time investment, then think of real estate investment in Tanga!, kwa sasa ardhi ya Tanga ni kama bure!, the time to acquire land is now!, sio kusubiri hadi mou imesainiwa, bei za wiwanja sasa hivi zitapaa!.
Watashuka Wachina hapa na kununua kila kitu, kisha Watanzania tubaki tuna bun'gaa bun'gaa!.
Nawaomba wana jf ambao ni in for development, please lets forget a bit about 29 October, what happened has happened, maisha lazima yaendelee!.
Hizi sasa ndio the ideal picha za kuangalia for easy Sunday, kumuona mtu wetu akiwa patakatifu petu na watu wa kueleweka, wakipiga picha za kueleweka na poses za kueleweka, sio zile picha za yule tipwa tipwa bonge nyanya wa kule akijiachia kwenye sofa zetu!.
Big up sana kwa picha hizi!
P