CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Manyonyo amepururuka mbaya kudadadadeq, damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 alioua zinamtesa sana.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
View attachment 3617596View attachment 3617597View attachment 3617598
asante kwa kazi kubwa na nzuri kwajili ya waTanzania wote
Mkuu Teta, TIETA Itakuwa walisoma bandiko hili Mimi Pascal Mayalla Sipongezi Kutafuta Uteuzi Wowote!. Pongezi Zangu ni Bonafide-Genuine Kumtia Moyo Kwa Mazuri ya Kweli!Mkuu bado tu hawajakuona hao CCM angalau wakupe hata kufagia tu ikulu. Maana umri unaenda ndugu harafu jamaa wako kimya tu
Minyumbu wakati mwingine inakuwa kama imekalia nanihii maneno yao. Najua hilo ndo ombi/tamanio lako lakini ndo hivyo Mungu amewageuzia kisogo na unafiki wenu. Amewekeza, anawekeza na atawekeza zaidi. Wengine nao wamewekeza, wanawekeza na watakuja kuwekeza zaidi mzidi kuchanganyikiwa mamamamae!!Dangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
Pole, kwakuwa utaanza wewe kabla yake.Jani bdo bichi baada ya muda litanyauka
Kakojoe ukalaleDangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
10,000!!! Lini mtaacha uongo?Manyonyo amepururuka mbaya kudadadadeq, damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 alioua zinamtesa sana.
Mtakapoacha kuua Watanganyika mama'e zenu10,000!!! Lini mtaacha uongo?
Kuna kosa la kuvunja katiba limefanyika kwenye hizo so called "Hekaheka"?Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweli
Unakiri kwamba unasema uongo.Mtakapoacha kuua Watanganyika mama'e zenu
Hahahahahaaaaa kwakuwa ni kobaz. Mbona hukusema jambo jema kwa yule bonge mgalatia wa Zimbabwe?Safi jambo jema
Uongo gani hapo nyie machoko wa CCM kwani hamkuua Watanganyika ili Mzanzibari aitawale Tanganyika?Unakiri kwamba unasema uongo.
Halafu matusi ya nini bibie.
Ndio mkuu ni wapumbavu.kwa hiyo wale wawekezaji kule Geita na Mara ni wapumbavu ?
Hiyo mikutano ipigwe marufuku kabsaa hadi 2030Jambo la kuzuia mikutano ya siasa haina afya kiukweli,ila tukae na kutafakari ni nchi gani kati ya zilizotunguka kipindi ambacho si cha uchaguzi kunakua na heka heka kama hizi zilizozuiliwa juzi,tuwe wakweli
Na tuone mkaandamane 7/7 muone vishindo vya Wazanzibari, mtakula vyuma vya matako 🤨Uongo gani hapo nyie machoko wa CCM kwani hamkuua Watanganyika ili Mzanzibari aitawale Tanganyika?
Kile kiwanda cha saruji Mtwara amejenga babakoDangote anawachezea tu. Mtu mwenye akili hawezi kuja kuwekeza mabilioni yake kwenye nchi iliyojaa ufisadi na uuaji
Na wasio wapumbavu wamewekeza wapi?Ndio mkuu ni wapumbavu.
Hata hivyo we ni lofa unataja nchi ambayo haipo, CCM itaongoza nchi hii miaka zaidi ya 100 kwa wapumbavu km nyie nyumbuCCM NI WAPUMBAVU SANA MKUU, LAKINI NITAKUJIBU KWA KIFUPI ANAEVUNJA UTULIVU/AMANI NI....
1. Anayeteka watanzania Wenzetu akina Soka, Polepole, Mdude, Chaula nk.
2. Anayepiga watu Risasi Akina TUNDU LISSU, SATIVA AKWILINA MAWAZO NK
3. Anayezuia haki ya Kikatiba ya Mikitano ya Vyama vya siasa.
(Kushiriki mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani.
4. Anayezuia Maandamano ambayo ni haki ya kikatiba ya Tanzania.
5. Anayezuia na Kupora Haki ya watanganyika ya kuchagua kiongozi wanaye mtaka.
6.Anayeficha Kila aina ya mikataba, Bandari, Ardhi, Dhahabu, Gesi nk.
7. Anayekandamiza uhuru wa vyombo vya Habari
CCM WAMETUONA WATANGANYIKA NI MALOFA SANA
AMKENI WATANGANYIKAb
Kazi sanaKile kiwanda cha mbolea Mtwara amejenga babako