John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.
Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York
Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.