Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

Hii kauli Le Mutuz alikuwa anaipenda sana kumpump nayo Bashite[emoji1787]
Kanyaga twende Mama, ukisikiliza maneno ya wakosaji humu wanaomuabudu yule mungu wa malaika, utavuna mabua....
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.

Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York

Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.View attachment 2196024

Ubahau huu
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.

Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York

Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.
Hivi hii nayo ni story kweli?? Ccm mna shida sana.
Yaani mmemfanya Rais ni msanii sasa. Ingekuwa stori tungesikia kakutana na Biden
 
Kwahiyo hii inasaidia nini ,katika maisha mabovu ya mtanzania? watu hata mlo mmoja shida, mafuta ya kula balaa, mafuta ya magari ndio kabisaaaaaaa, kimsingi tumepigwa na kitu kizito sana kichwani. naona na snich mfungia magazeti wa zamani naye yupo ukimwangalia utadhani mtu kumbe hamna kitu, hawa ndio wale team sifia ambao walitakiwa kuwa out kama yule mwenzie wa kolomije
Kwa akili yako rais ndio anakuletea milo mezani kwako?
 
Kwahiyo hii inasaidia nini ,katika maisha mabovu ya mtanzania? watu hata mlo mmoja shida, mafuta ya kula balaa, mafuta ya magari ndio kabisaaaaaaa, kimsingi tumepigwa na kitu kizito sana kichwani. naona na snich mfungia magazeti wa zamani naye yupo ukimwangalia utadhani mtu kumbe hamna kitu, hawa ndio wale team sifia ambao walitakiwa kuwa out kama yule mwenzie wa kolomije
Watanzania tuna shida sana
Hilo la kuonana na huyo mzee
Halina tija kwa mtanzania aliyepo kule west Kilimanjaro zaidi tuu ni kuzidi kutumia kodi zetuu wavuja jasho
 
Kanyaga twende Mama, ukisikiliza maneno ya wakosaji humu wanaomuabudu yule mungu wa malaika, utavuna mabua....
Bado hujajifungua till now.

Sikuwa nampinga au kumkubali late JPM direct ila nilianza kumkubali kutokana na watu wa kariba yako.
 
Back
Top Bottom