Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

Hadi wenyeji wake wanamshangaa,kwamba huyu ni Raisi au kituko?

Screenshot_20220422-101849_Instagram.jpg
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.

Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York

Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.
Hahahahah kweli wa kukutana wameisha. Huyo si saw tu na mzee Abdul baba wa Diamond.
 
Rais wetu anaangalia filamu na baba yake rihana.

Ila kikwete naye alipiga picha na 50 cent.
 
T
Kwa akili yako rais ndio anakuletea milo mezani kwako?
TAGA hata ukishinda unalitwanga kwenye kinu halitaelewa, unadhani kila mtu tumbocracy kama wewe? ni watanzania wangapi watakwambia hiyo ziara ina tija kwao binafsi? jitoe ufahamu tu kwasababu una benefit na mauza uza ya serikali, kimsingi tumepigwa hilo halina ubishi, nyie ndio mlikua mnaimba ngonjera za mwendazake aongezewe sijui nini , sasahivi mmebadilika ooh mama anaupiga mwingi sijui ninin, hamjui hata mnaamini na kusimamia nini
 
Tumepata Rais mwana tasnia ya maigizo hongera Sana kwake
 
Hii nchi yetu sijui tumelaniwa, yani huyu mama tangu aingie madarakani anapwipwitwa tu kupanda ndege akashangae wazungu.

Mbona hajaonana hata na Joe Biden?. Inamana Rais wa marekani hana taarifa ya ugeni mzito wa mkuu wa nchi?. Je siku Joe Biden akitua bongo akapokelewa na Philip mpango bila kuonana na huyu mama mpaka atakaporudi kwao marekani atajiskiaje?

Mama punguza anasa tamaa za mwili sio nzuri maana mwishowe ni umauti, usione kitu basi hutaki kikupite bado unataka ukaonane na Justin biber [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mama acha ale bata
 
Eti nasikia na Eminem nae wataonana huko..
 
Back
Top Bottom