Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anafungua chumbaBadala ya kukutana na Biden yupo busy na wasanii utadhani ni Alikiba
Walevi wa wanzuki wapo wengi wala sio mmoja sasa yule uliyemsikia ni wapi?Mlevi mmoja alisikika akibwabwaja huku ameishikilia chupa ya wanzuki mkononi.
Makubwa
Yaleyale ya Vasco Da GamaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.
Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York
Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.
Mama anafuta nyayo za Vasco Da Gama wetu ambaye alienda Jamaika kubembea, mambo mengine hayafai hata kuyatangaza hayana tija kwa taifa mbali ya kujidharirisha tu.That was a Non State Affair. Haina tija kwa Taifa. Naanza kuona kuwa safari ya the U.S was neither a state visit nor official visit. It was just a trip.
Nashauri, vingine akaushie tu is not necessary to hit headlines for useless stuffs.
Baba Rihanna karibu kitaa baada ya kutoka sober house.
Hii nchi yetu sijui tumelaniwa, yani huyu mama tangu aingie madarakani anapwipwitwa tu kupanda ndege akashangae wazungu.
Mbona hajaonana hata na Joe Biden?. Inamana Rais wa marekani hana taarifa ya ugeni mzito wa mkuu wa nchi?. Je siku Joe Biden akitua bongo akapokelewa na Philip mpango bila kuonana na huyu mama mpaka atakaporudi kwao marekani atajiskiaje?
Mama punguza anasa tamaa za mwili sio nzuri maana mwishowe ni umauti, usione kitu basi hutaki kikupite bado unataka ukaonane na Justin biber [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]