John Haramba
JF-Expert Member
- Feb 4, 2022
- 365
- 1,374
Nani asiependa raha hata kama ingekuwa ndio mimi. Marekani sio mchezo.Bado hajarudigi tu ahaha
Badala ya kukutana na Biden yupo busy na wasanii utadhani ni AlikibaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.
Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York
Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.View attachment 2196024
very GUUD, KANYAGA TWENDE MAMA JUST KEEP ON FOCUS FOR THE BENEFIT OF OUR COUNTRY usipoteze muda kuwasikiliza waathirika wa kuabudu minus brainKanyaga twende Mama, ukisikiliza maneno ya wakosaji humu wanaomuabudu yule mungu wa malaika, utavuna mabua....
What value does he add as Rihanna's father to our country?Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Ronald Fenty ambaye ni Baba wa Msanii Maarufu Robyn Rihanna Fenty alipofika katika Ukumbi wa Paramount Pictures kwa ajili ya kuangalia Filamu ya Tanzania Royal Tour, leo Aprili 22, 2022.
Filamu hiyo inafanyiwa uzinduzi Los Angeles, Marekani ikiwa ni mara ya pili kufanyiwa kuzinduliwa Nchini humo baada ya awali kuzinduliwa Aprili 28, 2022 Jijini New York
Uzinduzi huo umefanyika usiku wa Aprili 21 kwa Marekani lakini kwa Tanzania tayari ni tarehe 22 Aprili 2022.View attachment 2196024
KAZI IENDELEE[emoji1666]very GUUD, KANYAGA TWENDE MAMA JUST KEEP ON FOCUS FOR THE BENEFIT OF OUR COUNTRY usipoteze muda kuwasikiliza waathirika wa kuabudu minus brain
Hiyo ni kwaajili ya mabeberu tu (watalii kutoka nje)nasubiri lini inazinduliwa TZ, nami nkajionee fahari ya TZ
Hakuna aliyekulazimisha kuupitia uzi huu. Hasira zako ni shughuli yako binafsi.Kwahiyo hii inasaidia nini ,katika maisha mabovu ya mtanzania? watu hata mlo mmoja shida, mafuta ya kula balaa, mafuta ya magari ndio kabisaaaaaaa, kimsingi tumepigwa na kitu kizito sana kichwani. naona na snich mfungia magazeti wa zamani naye yupo ukimwangalia utadhani mtu kumbe hamna kitu, hawa ndio wale team sifia ambao walitakiwa kuwa out kama yule mwenzie wa kolomije
Haikutengenezwa kwa audience ya bongonasubiri lini inazinduliwa TZ, nami nkajionee fahari ya TZ