Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

Hii kauli Le Mutuz alikuwa anaipenda sana kumpump nayo Bashite[emoji1787]
Kanyaga twende Mama, ukisikiliza maneno ya wakosaji humu wanaomuabudu yule mungu wa malaika, utavuna mabua....
 

Ubahau huu
 
Hivi hii nayo ni story kweli?? Ccm mna shida sana.
Yaani mmemfanya Rais ni msanii sasa. Ingekuwa stori tungesikia kakutana na Biden
 
Kwa akili yako rais ndio anakuletea milo mezani kwako?
 
Watanzania tuna shida sana
Hilo la kuonana na huyo mzee
Halina tija kwa mtanzania aliyepo kule west Kilimanjaro zaidi tuu ni kuzidi kutumia kodi zetuu wavuja jasho
 
Kanyaga twende Mama, ukisikiliza maneno ya wakosaji humu wanaomuabudu yule mungu wa malaika, utavuna mabua....
Bado hujajifungua till now.

Sikuwa nampinga au kumkubali late JPM direct ila nilianza kumkubali kutokana na watu wa kariba yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…