Rais Samia akutana na baba yake mzazi Rihanna katika uzinduzi wa Filamu ya Royal Tour

kwa sasa yupo jumba la filamu pale paramount
 
Ahsante sana, natumae waziri wa utalii na maliasili nae alikuwepo...
 
That was a Non State Affair. Haina tija kwa Taifa. Naanza kuona kuwa safari ya the U.S was neither a state visit nor official visit. It was just a trip.

Nashauri, vingine akaushie tu is not necessary to hit headlines for useless stuffs.
Baba Rihanna karibu kitaa baada ya kutoka sober house.
 
Yaleyale ya Vasco Da Gama
 
Mama anafuta nyayo za Vasco Da Gama wetu ambaye alienda Jamaika kubembea, mambo mengine hayafai hata kuyatangaza hayana tija kwa taifa mbali ya kujidharirisha tu.
 

Ha ha ha ha wazungu wanamuenjoy tu[emoji2]
Anaishushia hadhi nchi yetu kwakweli hivi hao viongozi wengine hawamshauri? Au ndio wanamuacha aende ili wapate nafasi yakuupiga mwingi zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…