Son of Gamba
JF-Expert Member
- Oct 26, 2012
- 4,720
- 6,957
Pamoja sana ndugu yangu. 💪Son of Gamba asante sana kwa kuwa na ufahamu ambao wengi sana hawanao na kuwa macho kiroho.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana ndugu yangu. 💪Son of Gamba asante sana kwa kuwa na ufahamu ambao wengi sana hawanao na kuwa macho kiroho.
Elewa hivyoMkuu kwa nini alichelewa? FUNGUKA.
Mkuu Babati umefurahisha kwa jibu lako.Elewa hivyo
Lipi mkuu?Mkuu Babati umefurahisha kwa jibu lako.
Wewe unayejuwa mazungumzo hayo kati ya Rais na hao mapadre, na jinsi mazungumzo hayo ndiyo yanayosababisha unacholalamikia, kwa nini usiyaweke bayana hapa kuliko kupiga ramli na kuunganisha yasiyokuwepo, bali yamo ndani ya ndoto zako pekee!Ni muda mchache sana tangu Baraza la Maaskofu Katoriki wamualike Mhe. Rais kwenye kikao chao na tukio Mhe. Rais kutoa kauli ambayo imepingwa sana na wapenda demokrasia na utawala wa haki na sheria...
NotedRais Samia Suluhu Hassan halisi sasa ndio anajitokeza, baada ya kulembalemba na kuweka hadaa nyingi.
Inawezekana asifikie ngazi aliyofikia mtangulizi wake kwa yale mambo machafu kabisa; lakini dalili tayari zinaonyesha kwamba huenda akatia hasara kubwa zaidi, hasa kwa yale ya mambo ya muda mrefu, ambayo madhara yake hayaonekani kwa muda mfupi...
Umenena ukweli kabisaRais Samia Suluhu Hassan halisi sasa ndio anajitokeza, baada ya kulembalemba na kuweka hadaa nyingi.
Inawezekana asifikie ngazi aliyofikia mtangulizi wake kwa yale mambo machafu kabisa; lakini dalili tayari zinaonyesha kwamba huenda akatia hasara kubwa zaidi, hasa kwa yale ya mambo ya muda mrefu, ambayo madhara yake hayaonekani kwa muda mfupi...
Laana inakuandamaYule dikteta alichewa kufa alipaswa afe November 2016
Hatimae kazi am3chapa kweli kweli ya kuuzwa uarabuniSafi Sana. Tunamuombea Rais aendelee kuchapa kazI.
Unaelekezwa ukweli unaleta porojo?Tena ulipaswa ufe naye.Laana inakuandama
Yess gooooHakika tumwombe mama yetu ,wale wapuuzi wanaojaribu sijui kumlinganisha na kitu gani ,washindwe na walegeee,mama goooooooo
Mkuu ujengewe sanamuRais Samia Suluhu Hassan halisi sasa ndio anajitokeza, baada ya kulembalemba na kuweka hadaa nyingi.
Inawezekana asifikie ngazi aliyofikia mtangulizi wake kwa yale mambo machafu kabisa; lakini dalili tayari zinaonyesha kwamba huenda akatia hasara kubwa zaidi, hasa kwa yale ya mambo ya muda mrefu, ambayo madhara yake hayaonekani kwa muda mfupi.
Huu uchumi anaojenga wa kutegemea watu toka nje ndio watujengee uchumi, na kusahau juhudi za wananchi wetu ndizo ziwe kipaumbele zaidi, huenda tukaleweshwa kwa mategemeo ya neema hizo za nje huku tukijisahau kwamba jukumu la maendeleo ya nchi yetu ni la wananchi wenyewe hapahapa nchini mbele zaidi, wakichagizwa tu na hao wanaokuja kuchuma mali hapa na kuzipeleka kwao.
Mama anafungua nchi, huku akiwafungia ndani wananchi wake na kuwasahau.