Rais Samia akutana na kufanya mazungumzo mfanyabiashara Alhaj Aliko Dangote

Atafanyaje mikataba wakati aliona kabisa biashara atafunga? Aliteswa mno mpaka akaanza taratibu za kufunga kiwanda na ilitangazwa. Hakuna mfanyabiasha mjinga kwenye biashara yake. Hata Rais wa nchi akiwa mjinga kwenye kazi yake anbayo ndiyo biashara yake basi mambo yanakuwa ya hovyo kama ya nchi moja hivi ambayo Mungu aliwaonea huruma akafanya pindua meza. Mungi ni fundi mno apigiwe makofi na vigelegele.
 
Whaaat? Aiseeee. Hakika hivi Mwendazake alikuwa ni mzaliwa wa Tanzania mwenye uchungu na hii nchi? Tungeingizwa shimo refu tusingeweza kuchomoka tena. Kumbe kweli yanayosemwa na wabunge wizi au ujambazi usiotumia silaha ni kweli?
 
Unadhani ni kwanini Dangote amesema kuna mabadiliko Tanzania,na watu waje kuwekeza wakati alipokuwa ikulu leo?
Unafikiri hayo maneno alikuwa hasemi wakati anakuja kumwona Magufuli?

maneno ni hayohayo ndugu yangu, hawa ni wafanyabiashara na sana lugha hizohizo,hawezi kutoka hapo na akaponda mazungumzo yaliyofanyika
 
Naomba media zote leo Wahariri mtoe habari ya Dangote vizuri. Mtangazeni mama kwa mazuri na makubwa anafanya kwa nchi kwa muda mfupi mno mwanga umerudi kwa speed ya radi. Mungu mlinde Rais wetu, #The Madam President#HerExcellency
 
Hahahaha Msigwa account imekuwa hacked au? Team Mwendambio
 
itamalizikaje kujengwa wakati vibarua walikuwa ni vijana wa JKT waliokuwa wanafanyishwa kazi usiku na mchana kwa ahadi kwamba wangepewa ajira jeshini?....mwisho wakaishia kuwafurusha bila huruma.
Serikali haiwezi kuwategemea hao vibarua pekee waliokaidi amri halali ya viongozi wa jeshi kitu ambacho ni usaliti. Naamini ujenzi utaendelea kwa njia nyingine.
 
Mungu ibariki Tanzania. Mungu mbariki mama Samia.
 
Afadhali,, cement itashuka bei, maana walimfanyia figisu mwanzoni, wakati ule cement ya dangote imeshamili mtaani, tulinunua mfuko wa saruji hadi Tsh 10,000 kutoka 15000.

Dikteta alimfanyia figisu za kutisha.
Hujui chochote kuhusu hill Dogo. Katika mambo ambayo JPM alikuwa smart lilikuwa ni jinsi alivyo deal na Dangote. Utanielewa kesho!
 
Haya ndiyo majukumu ya Rais sasa, siyo kutafuta cheap popularity kwa watu wenye upeo finyu (Machinga, bodaboda, mamantilie na wauza nyanya wa Dumila), matokeo yake unaenda hadi kuzindua vyoo na kuwaambia watu waache mavi yao nyumbani. Hongera Mother
Umeongea ushuzi mtupu
 
Huyu mama hopeless kabisa,ndo maana hata akaolewa mke wa tatu,yaani rahisi sana kumpiga fix🤣🤣🤣
 
Siro mpatie urinzi wa nguvu huyu jamaa.
 
Kuna uwezekano mkubwa, Ikulu ya Chamwino haitaendelea kutumika.
Kutoka Dar kwenda Zanzibar inachukua muda mfupi kuliko kutoka Dodoma, hali ya hewa ya Dar inashabihiana sana na ya Zanzibar, upepo mwanana wa marashi ya karafuu husikika vema ukiwa Dar. Vumbi la Dodoma lenye ukwasi wa harufu ya samli linakera sana.
 
Waandikie watoto wako ujinga huu!
 
Whaaat? Aiseeee. Hakika hivi Mwendazake alikuwa ni mzaliwa wa Tanzania mwenye uchungu na hii nchi? Tungeingizwa shimo refu tusingeweza kuchomoka tena. Kumbe kweli yanayosemwa na wabunge wizi au ujambazi usiotumia silaha ni kweli?
Ukichunguza sana, Mwendazake wala hakuwa na asili ya Tanzania.
Wanaosema msukuma nakataa kabisa, hana hata dalili ya usukuma ndani yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…