Zeus1
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 7,152
- 9,206
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafikiri ipo siku wataruhusu.Sasa wanazuia nini uraia pacha.....bure kabisa!!!!
Bwashe huna shangazi kule Tanangozi? Mtu chake.Ni jambo jema
Kwani waliomkataa Salim asiwe Rais kwa ajili ya link yake na huko Oman hawakuwa wana CCM....!!?Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwenaazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
Akina nani hao?2005 mlitoa na kumkashifu Salim Ahmed Salim kwa sababu hiyo, Leo ni sawa?
Kwani mimi ni mwana CCM?Kwani waliomkataa Salim asiwe Rais kwa ajili ya link yake na huko Oman hawakuwa wana CCM....!!?
Hakuna cha uarabu hapo. Hao ni watoto wa nje waliozaliwa na housegirls wahudumu wa familia za kiarabu enzi hizo.......wamekulia kwa embe za kuokota.Hivi uarabu ni Issue sana eenh? Njoo huku kwetu kijiji cha tura wilaya ya sikonge Tabora mkutane nao wanazungumza kinyamwezi kuliko hata wazawa.
Wengi mno,waarabu wengi wa tz ni wa Oman,waarabu wa tabora,shinyanga wengi tu huenda Oman kwa ndugu zaoOhooo! Kumbe ndiyo maana Wazanzibari wengi wanajiona kama Wa Oman vile, badala ya Watanzania! Kumbe mna ndugu zenu wa damu huko Oman! 🤔
Rais Samia amekutana na mjomba wake Oman ambaye ni mwarabu


Tumekwisha. Jamani tuungane kudai Katiba Mpya
Tabora waarabu walioa Sana wanyamwezi,mpaka kwa chifu/mtemi,waarabu ni kitu Cha kawaida Sana taboraHakuna cha uarabu hapo. Hao ni watoto wa nje waliozaliwa na housegirls wahudumu wa familia za kiarabu enzi hizo.......wamekulia kwa embe za kuokota.
😅🤣😅🤣🤣🤣👌Mbona hata jiwe alikuwa na ndugu mzungu Ukraine na tulinyamaza tu
Ha ha ha.Tuonesheni na mjomba wa Mwendazake huko Burundi
Wacha nije nitafute shombe la kiarabu nilioe.Tabora waarabu walioa Sana wanyamwezi,mpaka kwa chifu/mtemi,waarabu ni kitu Cha kawaida Sana tabora