Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Rais Samia akutana na mjomba wake ambaye ni Mwarabu

Nasubiri comments za chuki kutoka kwa wafuasi wa Mwenaazake na wafuasi wa Chadema, hawa ni mapacha wawili kama Cain na Abel
propaganda za kuwa tunaongozwa na Mwarabu
Acha kuleta hisia zako za hovyo na chuki dhidi ya Chadema.

Chadema na Mjomba wa mtu wapi na wapi.
 
Hakuna habari mtu kukutana na ndugu yake...
 
Kumbe ndio maana Wamasai wanafukuzwa kukaribisha wajomba
 
Binafsi kama Chukwu emeka sioni shida yoyote maana hata mm Nina ndugu kadhaa wamezamia nchi kadhaa za Kusini mwa Africa,2025 kama mtanichagua nikienda huko mtaniona nao kwenye Picha wajomba zangu......🤣
 
Kumbe ndio maana Wamasai wanafukuzwa kukaribisha wajomba
1655222987356.png
 
Ohooo! Kumbe ndiyo maana Wazanzibari wengi wanajiona kama Wa Oman vile, badala ya Watanzania! Kumbe mna ndugu zenu wa damu huko Oman! 🤔
Kwani ulikuwa hujui wewe,
Sisi na Watanganyika tuko tofauti sana kuliko tulivyo ingiliana na waoman
 
Back
Top Bottom