Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Unataka Luca abubujishe machozi?Ni big issue kijijini kwao.Petty issues
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka Luca abubujishe machozi?Ni big issue kijijini kwao.Petty issues
Fisiemu mbona mnagombana tenaNitolee usenge wako hapa kima wewe usinizoee.
Wewe nimekukadhi kwa mods wakutendee haki.Matako yako pia kama yamefika chuo sisomi tena.
Sawa.Kwa akili yako ndogo hilo lilikua lengo lako kuniprovoke ili nipate ban mbwa wewe huna cha kunifanya zaidi ya kulia kwa mods. Kima wewe.
Chawa hao wananishambulia ili waonekane wanafanya kazi.Fisiemu mbona mnagombana tena
Nyie simpo pamoja kwenye uchawa
Wewe una kipaji cha uandishi wa habari za burudani, yaani unakipoteza hivi hivi kwenye uchawa, amka ukitumie vyema.Katika uongozi wa Rais Samia hakuna ambaye hatabasamu. Rais Samia amekuwa akiteka hisia za watu wengi sana mpaka inakuwa ni vigumu sana kwa mtu mwenye moyo wa nyama kubakia amenuna tu kama kiapo au maadili ya kazi yanavyomtaka. Kumbuka hata yeye ni Mwanadamu anayeguswa. Hata ungekuwa ni wewe kwa tukio hilo la kugusa hisia za watu ni lazima ungetabasamu tu.
Rais Samia kwa namna anavyopendwa na kugusa hisia za watu,ndio maana unaona hata akienda hospitalini unoana wagonjwa wakitabasamu na kuona wamepona kabisa.View attachment 3061282
Sasa wewe ukimaliza mimi inanihusu nini??Sawa.
Mimi nimemaliza.
😁🤣🤣😂😂😁😁😂Waalimu wangu wa chuo sitaki hata kuwaona wajinga wale.
Walikua wanagawa maksi kwa machawa wao na wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea nao.
hivi ulimaliza chuo kweli gentleman kwa Sup zile? dah 🐒Waalimu wangu wa chuo sitaki hata kuwaona wajinga wale.
Walikua wanagawa maksi kwa machawa wao na wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea nao.
Lazima kuwa kapangwa, hata hizo pamba alizotupia ni mpya kabisa.Sio kwamba imepangwa waje wakutane hapo ili ya uandikwa na kusifu patikane, na haswa ku proof wrong wanaosema aliunga unga shule.
Kuunga shule sio mbaya alimuradi umalizeSio kwamba imepangwa waje wakutane hapo ili ya uandikwa na kusifu patikane, na haswa ku proof wrong wanaosema aliunga unga shule.
Narudia tena kusema tena kuwa hakuna chuo kinachodahili nakupokea watu wajinga wajinga .wewe hakuna chuo cha kukupokea.tena koma kabisa kuchafua vyuo kwa kusema ulifika chuo.Msenge wewe.
Acha utoto ndugu yangu.au wewe umezoea kuvaa nguo za hovyo hovyo na ndio maana unashangaa mtu kuvaa nguo nzuri na kupendeza.Lazima kuwa kapangwa, hata hizo pamba alizotupia ni mpya kabisa.
NB: Hakuna mtu yeyote anayekutana na Rais bila crew ya Ulinzi kujua na kumjua anayetaka kukutana na Rais
Jina la huyo mwalimu wake tafadhali. Habari haijakamilika
😆🤣🤣Kwanza hakuna mwanafunzi aliyefika chuo mwenye akili kama zako.wewe huwezi ukawa na akili za kudahiliwa chuo kikuu. Au unafikiri chuo wanakwenda na kuzoa hata wajinga wajinga? Wewe huwezi kamwe na katu kusoma chuo au kupokelewa chuo chochote kile.
Mimi ni msema kweli na siyo chawa ndugu yangu Mtanzania.Wewe una kipaji cha uandishi wa habari za burudani, yaani unakipoteza hivi hivi kwenye uchawa, amka ukitumie vyema.