Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Waalimu wangu wa chuo sitaki hata kuwaona wajinga wale.

Walikua wanagawa maksi kwa machawa wao na wanafunzi wa kike waliokuwa wanatembea nao.
hivi ulimaliza chuo kweli kwa Sup zile, dah 🐒

au hata ulivyoenda kusapua ukakamatwa tena?

ila Tatizo haiku walimu gentleman, ni wewe mwenyewe ndio ulikua issue 🐒
One mjinga mwingine huyu.

Mmekusanyana wote kutembelea nyota za wengine.

Hapo ulipo unategemea unitukane ili upate ujiko. Fala mzee wewe. Fanya mambo yako achana na mimi.
kimaadili ni laana kutukana mtu mwenye mihemko, mapengo na upara kama inavyoonekana kwenye avatar yako 🐒
 
hivi ulimaliza chuo kweli kwa Sup zile, dah 🐒

au hata ulivyoenda kusapua ukakamatwa tena?

ila Tatizo haiku walimu gentleman, ni wewe mwenyewe ndio ulikua issue 🐒

kimaadili ni laana kutukana mtu mwenye mihemko, mapengo na upara kama inavyoonekana kwenye avatar yako 🐒
Luca na wewe ni mashoger.

Hizi tuhuma zipo kwenye dawati letu.
 
Luca na wewe ni mashoger.

Hizi tuhuma zipo kwenye dawati letu.
Ni lazima upate ukichaa maana naona akili imekuruka na kukutoka kabisa na kubakia ukiropoka hovyo hovyo kama toto lililokosa malezi ya wazazi wake
 
ni lazima ungedisco tu hata ungepelekwa chuo gani kusoma 🤣
Kwanza linge disco mwaka wa kwanza na awamu ya kwanza kwa kupata supp katika masomo yote.kwanza sizani hata kama lingepata marks za kuliwezesha kuingia kwenye mtihani wa mwisho.maana lipo lipo tu.
 
..halafu hata hajataja majina ya hao waalimu.

..nchi hii tunatukuza sana wanasiasa na kusahau utumishi uliotukuka wa wengine wote.

..ukitaka kulijua hilo angalia jinsi SIKUKUU YA MASHUJAA inavyodogoshwa.
We kushoto kwa ni Dr Stella Malangalila mwanafunzi mwenzie na Samia enzi hizo na wa kulia Prof Sabiña Gelleja ambaye ndiye aliyemfundisha Rais Samia
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,katika hali ya kuteka hisia za watu ameweza kuonana ana kwa ana Na Mwalimu wake Mama Sabina Gellejah ,aliyemfundisha alipokuwa mwanafunzi katika chuo hicho Mwaka 1983-1986 ambacho kwa sasa kinafahamika kama Mzumbe.

Kwa hakika Mungu ni Mwema sana .ukiangalia katika picha hii namna mama huyu alivyokuwa anaonesha uso wake uliojaa furaha na tabasamu mpaka unaona anatamani kutoa machozi ya furaha inagusa sana kiukweli.

Maana bila shaka Mama huyu haamini kama Ameweza kukutana uso kwa uso na Rais na Mkuu wa Nchi aliyepita mikononi mwake kama mwalimu wake. Haamini kama leo anaweza kupata nafasi ya kusalimiana na Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu.Haamini kama ni yeye aliyeingia katika kitabu cha historia cha kufundisha Mwanafunzi ambaye amekuja kuwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.

Bila shaka moyo wake umebubujikwa na machozi ya furaha sana kuona amepata bahati ambayo wengi hawapati katika Maisha yao yote mpaka wanakufa ,kuweza kupewa heshima ya hadhi ya juu kabisa kusimama na Rais Na kushikwa mkono kusalimiwa na kutambulishwa.

Leo Tanzania nzima imetambua na kumfahamu miongoni mwa watu waliompika na kumuivisha Mama yetu. Kwa hakika Mungu amjalie Maisha Marefu sana Mama na Mwalimu huyu aliyetupikia na kumfundisha Rais wetu Mh Dkt Mama Samia ,ambaye leo kama Taifa Tunajivunia uwepo wake madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Kwa tabia za hovyo za Machadema wanaweza kuchukia 😁😁
 
Kwanza linge disco mwaka wa kwanza na awamu ya kwanza kwa kupata supp katika masomo yote.kwanza sizani hata kama lingepata marks za kuliwezesha kuingia kwenye mtihani wa mwisho.maana lipo lipo tu.
kana mihemko kweli, halafu hakana hoja wala mawazo mbadala, kana babaika tu 🤣

pole pole akiacha kiburi na mihemko, anaweza kujifunza mambo muhimu yakamsaidia 🐒
 
Ndugu zangu Watanzania,

Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,katika hali ya kuteka hisia za watu ameweza kuonana ana kwa ana Na Mwalimu wake Mama Sabina Gellejah ,aliyemfundisha alipokuwa mwanafunzi katika chuo hicho Mwaka 1983-1986 ambacho kwa sasa kinafahamika kama Mzumbe.

Kwa hakika Mungu ni Mwema sana .ukiangalia katika picha hii namna mama huyu alivyokuwa anaonesha uso wake uliojaa furaha na tabasamu mpaka unaona anatamani kutoa machozi ya furaha inagusa sana kiukweli.

Maana bila shaka Mama huyu haamini kama Ameweza kukutana uso kwa uso na Rais na Mkuu wa Nchi aliyepita mikononi mwake kama mwalimu wake. Haamini kama leo anaweza kupata nafasi ya kusalimiana na Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu.Haamini kama ni yeye aliyeingia katika kitabu cha historia cha kufundisha Mwanafunzi ambaye amekuja kuwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.

Bila shaka moyo wake umebubujikwa na machozi ya furaha sana kuona amepata bahati ambayo wengi hawapati katika Maisha yao yote mpaka wanakufa ,kuweza kupewa heshima ya hadhi ya juu kabisa kusimama na Rais Na kushikwa mkono kusalimiwa na kutambulishwa.

Leo Tanzania nzima imetambua na kumfahamu miongoni mwa watu waliompika na kumuivisha Mama yetu. Kwa hakika Mungu amjalie Maisha Marefu sana Mama na Mwalimu huyu aliyetupikia na kumfundisha Rais wetu Mh Dkt Mama Samia ,ambaye leo kama Taifa Tunajivunia uwepo wake madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hapo mmoja atakuwa amebubujikwa na machozi ya furaha 🤠🙌👍
 
Tunamshukuru pia Mzee Wetu Hebel Mwashambwa,,Kwa Kufanyika kwako!!
 
Back
Top Bottom