GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Rais Samia Suluhu Hassan leo amekutana na Sabrina Geleja (kulia) ambaye ni mwalimu wake aliyemfundisha wakati akisoma Chuo cha IDM Mzumbe kuanzia mwaka 1983-1986, ambacho sasa ni Chuo Kikuu cha Mzumbe.
Amekutana naye chuoni hapo leo Agosti 4, 2024 katika hafla ya uwekeji wa jiwe la msingi wa la ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe, kampasi ya Morogoro eneo la Maekani. Rais alitoa fursa ya kupiga picha ya ukumbusho na mwalimu huyo pamoja na wanafunzi aliosoma nao darasa moja.
Chanzo: azamtvtz
Kwani hiyo Kozi aliyoisomea hapo Kitaaluma haina Heshima hadi mkaamua Kuificha wakati wenye Akili wanaijua tu?