Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Umepanga wewe? Kwanini mnakuwa na wivu kiasi hicho?
Kitengo maalum kwa kazi ya sinema ndio kimepanga.

Hata mimi nikitaka nionane na Rais lazima nipitie kwenye hicho kitengo nipigwe vetting ya maana wajue kama naenda kwa nia njema au la, ndipo bi mdashi naye afikishiwe taarifa, akitakataa mchongo unaishia pale, akikubali ndipo nitapangwa, nitavaa vizuri nipendeze ili tulio likabambe.

Umeelewa mchongo Chawa Luca?

Wewe umeamua kujikita kwenye uchawa unaacha kujua logistic za kukutana/kuonana na Rais, poor you...

Hatukatai kusifia, ila tunakataa ujinga kama wako.
 
Kitengo maalum kwa kazi ya sinema ndio kimepanga.

Hata mimi nikitaka nionane na Rais lazima nipitie kwenye hicho kitengo nipigwe vetting ya maana wajue kama naenda kwa nia njema au la, ndipo bi mdashi naye afikishiwe taarifa, akitakataa mchongo unaishia pale, akikubali ndipo nitapangwa, nitavaa vizuri nipendeze ili tulio likabambe.

Umeelewa mchongo Chawa Luca?

Wewe umeamua kujikita kwenye uchawa unaacha kujua logistic za kukutana/kuonana na Rais, poor you...

Hatukatai kusifia, ila tunakataa ujinga kama wako.
Wewe endelea kuwaza hivyo hivyo.
 
Wewe chawa Lucas Mwashambwa sa100 kafundishwa na mwalimu na Sio kafundishwa na professor wa economic,

Nikama vile sa100 alienda kusoma chekechea Tu.

Walio andaa propaganda,hawakuianda vizuri, wameacha makosa ya kimkakati ili maswali tazidi kuongezeka, masomi wako Huku wanamcheka Tu
Endelea na wivu wako.
 

Ndugu zangu Watanzania,

Katika muendelezo wa ziara yake Mkoani Morogoro ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo,uzinduzi na uwekaji wa mawe ya msingi kwa ujenzi wa miradi mbalimbali,utatuzi wa kero mbalimbali za wananchi.

Mheshimiwa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,katika hali ya kuteka hisia za watu ameweza kuonana ana kwa ana Na Mwalimu wake Mama Sabina Gellejah ,aliyemfundisha alipokuwa mwanafunzi katika chuo hicho Mwaka 1983-1986 ambacho kwa sasa kinafahamika kama Mzumbe.

Kwa hakika Mungu ni Mwema sana .ukiangalia katika picha hii namna mama huyu alivyokuwa anaonesha uso wake uliojaa furaha na tabasamu mpaka unaona anatamani kutoa machozi ya furaha inagusa sana kiukweli.

Maana bila shaka Mama huyu haamini kama Ameweza kukutana uso kwa uso na Rais na Mkuu wa Nchi aliyepita mikononi mwake kama mwalimu wake. Haamini kama leo anaweza kupata nafasi ya kusalimiana na Mkuu wa nchi na Amiri Jeshi Mkuu.Haamini kama ni yeye aliyeingia katika kitabu cha historia cha kufundisha Mwanafunzi ambaye amekuja kuwa Mkuu wa Nchi na Amiri Jeshi Mkuu.

Bila shaka moyo wake umebubujikwa na machozi ya furaha sana kuona amepata bahati ambayo wengi hawapati katika Maisha yao yote mpaka wanakufa ,kuweza kupewa heshima ya hadhi ya juu kabisa kusimama na Rais Na kushikwa mkono kusalimiwa na kutambulishwa.

Leo Tanzania nzima imetambua na kumfahamu miongoni mwa watu waliompika na kumuivisha Mama yetu. Kwa hakika Mungu amjalie Maisha Marefu sana Mama na Mwalimu huyu aliyetupikia na kumfundisha Rais wetu Mh Dkt Mama Samia ,ambaye leo kama Taifa Tunajivunia uwepo wake madarakani.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
VP brigadier bado hajaripoti brigade ya magharibi au ndo anasubiri uluteni generali akiwa ADC?
 
Nani ametekwa? Acheni maigizo yenu ya kutafuta sifa za kijinga na kuchafua serikali yetu.mmeishiwa hoja mmebaki kutoa vitaarifa vya kutaka kuleta taharuki.
Sawa...wanaotekwa si ni nyani tu...mkianza kutekwa nyinyi binadamu na familia zenu labda tutaelewana
 
Katika uongozi wa Rais Samia hakuna ambaye hatabasamu. Rais Samia amekuwa akiteka hisia za watu wengi sana mpaka inakuwa ni vigumu sana kwa mtu mwenye moyo wa nyama kubakia amenuna tu kama kiapo au maadili ya kazi yanavyomtaka. Kumbuka hata yeye ni Mwanadamu anayeguswa. Hata ungekuwa ni wewe kwa tukio hilo la kugusa hisia za watu ni lazima ungetabasamu tu.

Rais Samia kwa namna anavyopendwa na kugusa hisia za watu,ndio maana unaona hata akienda hospitalini unoana wagonjwa wakitabasamu na kuona wamepona kabisa.View attachment 3061282
Mkuu Lucas upo vizuri sana katika kumfagilia SSH. Sidhani kama mtoto wake Abdul anaweza kumsifu Mama yake namna ambavyo wewe unammwagia sifa humu.
 
Back
Top Bottom