Rais Samia akutana na Mwalimu Wake aliyemfundisha Chuo kikuu cha Mzumbe Mwaka 1983-1986

Tuishi kwa kupendana - huwezi jua kesho ya unayemchukia
Kwa hiyo tuendelee kuwa Taifa la kinafiki kisa tuu hujui kesho ya mtu!!??

Tuambiane ukweli na tuwe "real" kwenye maisha kwa ujumla, upendo huwa unakuja "automatically" na si kwa kuogopa eti huyu kesho anaweza kuwa hivi.
 
Upendo wa watanzania kwa Rais Samia ni Upendo wa dhati kabisa.
 
Kwa hiyo tuendelee kuwa Taifa la kinafiki kisa tuu hujui kesho ya mtu!!??

Tuambiane ukweli na tuwe "real" kwenye maisha kwa ujumla, upendo huwa unakuja "automatically" na si kwa kuogopa eti huyu kesho anaweza kuwa hivi.
Tofauti na hapo basi tenda mabaya kwa waliokuzunguka
 
Back
Top Bottom