Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Mkuu vipi ikiwa kinyume chake!?Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana sasa anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.
Wanasheria Pekee wanaoheshimika Nchi Hii kwa Kazi Nzuri ni Tundu Lissu na Mwabukusi.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Roho inakuuma. Rais kaenda kuonana na Rais.Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
Leo wana ccm watalala na Viatu......wana roho mbaya hii nayo itawauma.Mwanzo wa mwisho