Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Jambo jema sana wamefanya na pia wamshauri mambo mazuri na ayafanyie kazi kupunguza kelele...
Sasa ulitaka afanye nini?Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
IUSS54910203 said:Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
Kama akibaki na msimamo wake ni jambo jemaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
You too netativeMipango Sawazishi Ili October Isiwe Nongwa
Sasa unataka kumlaumu nani? Si uwalaum hao wanaoigeuza?Kitu kikubwa tunachokosea mawakili ni kukubali TLS kugeuzwa platform ya kisiasa. Hapa tunapigwa sana.
Hao sio wakuwalaumu, bali ni sisi wenyewe tujilaumu na kuambiana tu.Sasa unataka kumlaumu nani? Si uwalaum hao wanaoigeuza?
The words of diplomacy are more powerful than weapons. What can be won through peace and wisdom is better than wars of force.Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
Kitu kikubwa tunachokosea mawakili ni kukubali TLS kugeuzwa platform ya kisiasa. Hapa tunapigwa sana.
Niseme ninakubaliana nawe kuhusu "mwisho"; ingawa "Mwanzo" ulisha tangulia siku nyingi.Mwanzo wa mwisho
Ila BAK tangu mwanzo alikuwa anaonekana kabisa atatuvuruga sasa hivi chama kinashindwa kusimama kwenye msingi wake ipasavyo kina legalega sana...tatizo political space imebinywa, na hivyo kulazimisha asasi kama TLS kuziba pengo.