Ila BAK tangu mwanzo alikuwa anaonekana kabisa atatuvuruga sasa hivi chama kinashindwa kusimama kwenye msingi wake ipasavyo kina legalega sana.
Nami nimesoma hizo picha.Nimetuma picha kutizama na kung'amua mengi.
soka iwezi kuwa maisha yako ukawa mpenda siasa za mpira wa kinyeo unakuungiza kwenye kinyeo kusifu buku saba za wahuni inaonyesha wanakuoska sana rumumbaPamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa
Lissu anaweza kuachiliwa before uchaguzi ! Tena bila masharti yoyote ,,,! DPP atafutilia mbali mashitaka yote
Hata akisaliti harakati siwezi kumlaumu, acha hadi tubaki kama zimbabwe. Tundu lisu nae aingie makubaliano akatulie ubelgiji.Nami nimesoma hizo picha.
Sikupenda ufara huo. Matumaini yangu ni kuwa ni tofauti na yailyo zungumzwa.
Huyu Bwana kwa kelele zake nyingi ameaminisha watu kuwa ni mtu mwenye msimamo unao eleweka; lakini 'pose' za namna ile zinazungumza vingine kabisa.
Tundu Lissu hawezi kusimama namna hiyo; Mwalimu Nyerere asingeweza kuonyesha kujitweza kwa yeyote jinsi alivyoonyesha huyu bwana.
Na hasa, kumbuka, hata Mdude bado hatujui yuko wapi!
Picha mbaya kabisa.
Sura ya mwenye ofisi pia inanena mengi.Nami nimesoma hizo picha.
Sikupenda ufara huo. Matumaini yangu ni kuwa ni tofauti na yailyo zungumzwa.
Huyu Bwana kwa kelele zake nyingi ameaminisha watu kuwa ni mtu mwenye msimamo unao eleweka; lakini 'pose' za namna ile zinazungumza vingine kabisa.
Tundu Lissu hawezi kusimama namna hiyo; Mwalimu Nyerere asingeweza kuonyesha kujitweza kwa yeyote jinsi alivyoonyesha huyu bwana.
Na hasa, kumbuka, hata Mdude bado hatujui yuko wapi!
Picha mbaya kabisa.
True...lakini kwa yanayoendelea nchini hivi unaamini ni sahihi TLS kutojihusisha, au kuwa impartial?
..mahakama zinavyotumika kisiasa na kihuni TLS inapaswa kukaa kimya?
..wanaharakati wanavyotekwa na Polisi hawafanyi uchunguzi, TLS inapaswa kunyamaza?
..kwa maoni yangu everybody should speak up.
Bahasha ya Kufunga mdomo"Utakuta bahasha yako hapo nje"
Naunga mkono hoja..akutane na Polepole kwa njia ya mtandao.
Kumbuka TLS imaenzishwa kwa sheria ya Bunge,ni moja ya malengo yake makubwa ni kutoa uelewa wa masuala ya kisheria,kuisaidia Serikali na Mahakama kwenye masuala ya kisheria pamoja na kulinda na kuusaidia umma na wanachama katika issue za kisheria.Kitu kikubwa tunachokosea mawakili ni kukubali TLS kugeuzwa platform ya kisiasa. Hapa tunapigwa sana.
Mapema tu.leo katoa gari Kwa mgombea wa uraisi Tena mkurugenzi wa NEC ndo anamwambia kuwa umepewa na raisi ukafanyie kampeni.Bahasha ya Kufunga mdomo
Unazungumza kwa uchungu tu, bila kunuia unacho kiandika. Inaeleweka.Hata akisaliti harakati siwezi kumlaumu, acha hadi tubaki kama zimbabwe. Tundu lisu nae aingie makubaliano akatulie ubelgiji.
Washafanya kila lililo ndani ya uwezo wao kutusanua mang’ombe ya Tanganyika ila hatuna habari!
Kinalegalega kivipi,dadavua leaned brother.Ila BAK tangu mwanzo alikuwa anaonekana kabisa atatuvuruga sasa hivi chama kinashindwa kusimama kwenye msingi wake ipasavyo kina legalega sana.