Wewe ni msengerema mtakatifuPamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa

Itakuwa aliuliza,Nina shauku kujua kama kauliza hatma ya Mdude na alifanyiwa nini.
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai...Naamini Mwabukusi hajapepesa maana sio jadi yake, ngumu ngumu
Mimi sijahukumu chochote mkuu 'Ndinani'. Nasoma tu na kutafsiri ninacho kisoma hapo.Tusimuhukumu kabla ya kuona matunda ya mkutano wake! Huyu Malafyale hawezi kuwa msaliti ; ametulia baada ya kujiridhisha kuwa rafiki yake mdude bado yuko hai!
Tungepata picha straight ungekubaliana NAMI,Nitashangaa sana kama humjui Bi. Chura Kiziwi hadi sasa.
Maigizo yoooote haya aliyo tuonyesha tokea mwanzo hadi sasa usiwe ume ambulia chochote?
C'omon Rabbon, you can do better than this you know!
Tumeishi na Bi. Chura Kiziwi miaka yote hii, utashindwaje kujuwa ufundi wake wa kufanya maigizo?
I know you can do better than this mkuu 'Rabbon'.
Ila nyumbu aisee, Kila mtu analofanya lazima mje na ujinga ujinga wenu.......akikaa kimya mmenena, akiongea mnanena pia.Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.
Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.
Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!
Si bure hapa.
Kuna movie inaandaliwa ili nzi wa kijani waanze kudemka kuwa "mama ni msikivu".UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kupata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.
Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwa mambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki.
Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.
BAK Mwabukusi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Na askofu wa Jimbo kuu tabora alikuwepo ku-bargain,novena chaliMwanzo wa mwisho
Siyo kweli. Wapo waTanzania chungu nzima wasiokuwa tayari kujiuza na kuuza taifa lao kwa njia za kilaghai hivyo. Nihesabu miongoni mwa hao.. Ni mtu mmoja tu Tanzania anayeweza kugomea asal
Haja toa tamko lolote baada ya mazungumzo yao. Inawezekana wamekubaliana akae kimya mpaka utekelezaji utakapofa nyika wa hayo waliozungumza!Mimi sijahukumu chochote mkuu 'Ndinani'. Nasoma tu na kutafsiri ninacho kisoma hapo.
Ndiyo, kutokana na historia yake, ninayo matumaini kwamba ameongea mambo ya muhimu kuliko haya ya kusoma picha zinavyo onyesha.
Naamini kuwa hawezi kutoka kwenye mazuungumzo hayo bila ya kuzungumzia swala la Tundu Lissu. Kamwe siamini kuwa hilo linawezekana. Labda awe mwigizaji, kama alivyo huyo mwenyeji wake, jambo ambalo siamini.
Unajuaje kaomba Jana....haya mambo ya Dunia ya Tatu ni magumu,kuyatabiri!Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.
Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.
Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!
Si bure hapa.
Wewe utakuwa ni mgonjwa wa akili kuhusu haya maswala ya kidini.Na askofu wa Jimbo kuu tabora alikuwepo ku-bargain,novena chali
ZZK angetamani awe yeyeUPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kupata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.
Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwa mambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki.
Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.
BAK Mwabukusi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
CCM na taasisi za serekali yao, si wa kuwaamini kabisa mpaka watende. Angalia msajiri alichofanyiwa ACT. Kakaa na utetezi wao kwa zaidi ya siku 10 bila kutoa uamuzi. Dakika za lala salama yahani masaa machache kuelekea urejeshaji wa form ndoa katangaza kuwa mgombea wao jana sifa!.Huyu Mama sasa kaona maji yanazidi unga ndio maana anakubali kukutana na watu tena bila mashariti.
Kwa aliyotamka jana Rais wa TLS, angemuwekea kinyongo na wala asingekubali kukutananae.
Unaomba kikao na Rais Leo, kesho unakutananae!
Si bure hapa.
Wee mzee.. heshma yako... umeonekana ...liko jambo!Mwanzo wa mwisho