Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
NRNEFree Tundu Lissu
NRNEFree Tundu Lissu
Takbiriiii........AllahuakbarUPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kupata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.
Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwa mambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki.
Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.
BAK Mwabukusi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Mwabukusi huyu mwenye mikwala mbuzi ya kuruka juu kupiga kichwa?Wanasheria Pekee wanaoheshimika Nchi Hii kwa Kazi Nzuri ni Tundu Lissu na Mwabukusi.
Rafiki kipenzi cha Lissu amemwakilisha Lissu......au nasema uongo ndugu zangu?Raisi wa chama Chama Cha wanasheria(TLS)wakili Boniface mwabukusi akutana na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mwabukusi ambaye ameongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono raisi Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia mda mrefu wa zaidi ya masaa matatu kuwasikiliza na kuwapa majibu ya baadhi ya hoja zao
Ni moja ya majukumu yake na ni lazima jukumu hilo lifanywe kitaaluma na sio kisiasa. Sasa ukiangalia sehemu kubwa mambo mengi yanaendewa kisiasa hadi imefika hatua TLS inaonekana kama ni Chadema B..lakini kwa yanayoendelea nchini hivi unaamini ni sahihi TLS kutojihusisha, au kuwa impartial?
..mahakama zinavyotumika kisiasa na kihuni TLS inapaswa kukaa kimya?
..wanaharakati wanavyotekwa na Polisi hawafanyi uchunguzi, TLS inapaswa kunyamaza?
..kwa maoni yangu everybody should speak up.
Hapana sio kweli, enzi za Lisu ni aliileta tu kwenye public eyes ila sio kuwa ndio ilikuwa na nguvu bali ndio ilianza kupoteza nguvu zake. Kuna tofauti kubwa kati ya nguvu na umaarufu.Kumbuka TLS imaenzishwa kwa sheria ya Bunge,ni moja ya malengo yake makubwa ni kutoa uelewa wa masuala ya kisheria,kuisaidia Serikali na Mahakama kwenye masuala ya kisheria pamoja na kulinda na kuusaidia umma na wanachama katika issue za kisheria.
Kwa muktadha huo kutokana na issue ya Lissu ukiachilia mbali ni mwanachama mwenzenu,kesi yake tu yenye mafungamano na umma-TLS atajitoa vipi??.Huwezi kutenganisha jambo au kitu chochote na siasa za nchi.
Hata hivyo hii TLS imekuwa na nguvu kutokana na huyo huyo Lissu na sasa Mwabukusi,kabla ya hapo mlikuwa kama box.
Hujanielewa Mkuu.TLS section 4
Sasa mbona hawakupigana jamani?UPDATES KUTOKA KWA MWAMBUSI: - Leo Nimefika Ikulu CHAMWINO kuwasilisha Majumuisho ya wadau na tulipata nafasi ya kuzungumza na Kumueleza Mh.Rais wa Jamuhuri ya Muungano kuhusu Utawala Bora,Haki zabkushiriki katika chaguzi za kidemokrasia,Masuala ya Utekwaji na enforeced Disappearance , Kuhusu Umuhimu wa kuwa na chaguzi zinazozingatia haki za wananchi kupata,Watu na wagombea kutokuondolewa kwa kukatwa kwa masuala ya kiufubdi na Maeneo yenye kuhitaji maboresho ili kuwa na uchaguzi mzuri ulio Huru na wa Haki ili kupata viongozi wanao wataka kupitia sanduku la kura.
Mh.Rais Ametusikiliza na kuahidi kuangalia namna bora ya Kufanya kwa mambo yatakayowezekana kwa muda uliopo na kuboresha ili kuwa na Uchaguzi huru na Haki.
Aidha kwa kuwa kulikuwa na Mapendekezo ya Muda mfupi,Muda wa kati na Muda mrefu ameahidi kuyapitia yote na kuona namna bora ya kuyatekeleza.
BAK Mwabukusi. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Boniface Mwabukusi, Ikulu Chamwino mkoani Dodoma, tarehe 27 Agosti, 2025.
View attachment 3455282View attachment 3455283
Chawa huyo hakuna alipopiga kwenye mshonoJana kapiga kwenye mshono
Chawa wa rais na rais wanaanzaje kupigana? Usichezeshwe na drama siasa utafeli pakubwaSasa mbona hawakupigana jamani?
Kama unaona ni rahisi na wewe omba appointment na rais, au hata mkuu wa wilaya ya Kisarawe.Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR
Mimi piaSiyo kweli. Wapo waTanzania chungu nzima wasiokuwa tayari kujiuza na kuuza taifa lao kwa njia za kilaghai hivyo. Nihesabu miongoni mwa hao.
Napata picha zaidi kwamba Polepole na Gwajima sio watu wa kawaida. Wametisha!Kitendo cha mama kukutana na Rais wa TLS, mara Kardinali Rugambwa, inaonekana kama wameenda kumuombea Lissu msamaha,,,,, hapa wale wanaoshinikiza Lissu aachiwe bila masharti , kina Gwajima, Humphrey na wapinzani i e chadema hawata shupaza shingo kuwa ni shinikizo lao,,,, dizain kama anataka kuwaprove wrong kumbe nothing,,,,,
Hilo la kumuunga mkono umeongeza chumviRaisi wa chama Chama Cha wanasheria(TLS)wakili Boniface mwabukusi akutana na raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania mwabukusi ambaye ameongea kwa bashasha ameongeza kuwa wao kama TLS wanamuunga mkono raisi Samia kwani ni kiongozi msikivu ambaye ametumia mda mrefu wa zaidi ya masaa matatu kuwasikiliza na kuwapa majibu ya baadhi ya hoja zao
Ni moja ya majukumu yake na ni lazima jukumu hilo lifanywe kitaaluma na sio kisiasa. Sasa ukiangalia sehemu kubwa mambo mengi yanaendewa kisiasa hadi imefika hatua TLS inaonekana kama ni Chadema B
ongezea ongezea nyama bossMwanzo wa mwisho
usimfananishe Mwabu na matapeli. MWABUKUSI ni smart! mzalendoKama akibaki na msimamo wake ni jambo jema
Ila Mbowe naye alivyotoka hapa akawa MTU mwingine kabisa 😊😊😊
natafuta mtu anayejua kutukana akushughulikiePamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.
Mmechelewaaaaaaaaaaa
umesikia kauli ya juzi wa Mwabukusi kabla ya kukutana na raisi au umekurupuka?Ubabe wote wa mwabukusi kumbe hamna hamna ni kilele tu walisema wao ni wanasheria kumbe madem tu
USSR