Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Rais Samia akutana na rais wa TLS, Mwabukusi - Ikulu ya Chamwino Dodoma

Samia mikono yake imelowa damu
VamP.jpg
 
Sura ya mwenye ofisi pia inanena mengi.
Kiukweli sikuisoma hizo za mwenyezi nilipo angalia hizo picha. Sijui kwa nini macho yangu yaliishia kwa huyo mgeni. Ngoja nisome tena nimwangalie mwenyeji.!
 
Unazungumza kwa uchungu tu, bila kunuia unacho kiandika. Inaeleweka.
Sasa elewa kwamba mapambano ndiyo kwanza yanaanza. Jitoe huko kwenye uchungu usio kusaidia kitu chochote.
Sawa kila la heri mkuu.
 
Pamoja na kuwa ni Rais wa chama cha wanasheria lkn Rais Mwabukusi ni mfuasi wa chadema, ameenda kumtetea mhalifu aliyetaka kuharibu amani ya nchi kupitia mgongo wa TLS.

Mmechelewaaaaaaaaaaa
Mwabukusi hajawahi kuwa mwanachama wa Chadema wacha uongo huyu alikuwa NCCR Mageuzi na baadaye akawa kwenye taasisi ya Sauti ya Watanzania
 
Sura ya mwenye ofisi pia inanena mengi.
Hapana.

Sijaona chochote zaidi ya mwenyeji kumwacha mgeni ajirusherushe kama maharage yanayopikwa!

Ninachoona ni Mwenyeji kumpima mgeni wake kama kajaa vizuri kwenye mizani yake. Too bad!
 
Hapana.

Sijaona chochote zaidi ya mwenyeji kumwacha mgeni ajirusherushe kama maharage yanayopikwa!

Ninachoona ni Mwenyeji kumpima mgeni wake kama kajaa vizuri kwenye mizani yake. Too bad!
Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!
 
Naamini Mwabukusi hajapepesa maana sio jadi yake, ngumu ngumu
 
Nami nimesoma hizo picha.
Sikupenda ufara huo. Matumaini yangu ni kuwa ni tofauti na yailyo zungumzwa.

Huyu Bwana kwa kelele zake nyingi ameaminisha watu kuwa ni mtu mwenye msimamo unao eleweka; lakini 'pose' za namna ile zinazungumza vingine kabisa.
Tundu Lissu hawezi kusimama namna hiyo; Mwalimu Nyerere asingeweza kuonyesha kujitweza kwa yeyote jinsi alivyoonyesha huyu bwana.

Na hasa, kumbuka, hata Mdude bado hatujui yuko wapi!

Picha mbaya kabisa.
Tusimuhukumu kabla ya kuona matunda ya mkutano wake! Huyu Malafyale hawezi kuwa msaliti ; ametulia baada ya kujiridhisha kuwa rafiki yake mdude bado yuko hai!
Kwa. asili yake huyu Mwabukusi hawezi kuwa msaliti kwani akifanya hivyo atakufa kwani atakuwa amekiuka kiapo cha babu zake waliokuwa ma chief!
 
Nina shauku kujua kama kauliza hatma ya Mdude na alifanyiwa nini.
 
Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!
Nitashangaa sana kama humjui Bi. Chura Kiziwi hadi sasa.
Maigizo yoooote haya aliyo tuonyesha tokea mwanzo hadi sasa usiwe ume ambulia chochote?

C'omon Rabbon, you can do better than this you know!
Acha hizo, hiyo SI sura ya ukarimu kwa mgeni!
Tumeishi na Bi. Chura Kiziwi miaka yote hii, utashindwaje kujuwa ufundi wake wa kufanya maigizo?
I know you can do better than this mkuu 'Rabbon'.
 

27 August 2025​

"Kwanini Watu wema wanateseka kwanini Watu Waovu wanastawi" ~ Askofu Mkuu Ruwa`ichi OFMCap​


View: https://m.youtube.com/watch?v=_7DBuxbhs58

Kwanini Mungu anaacha watu wazuri wema waumie na kuteseka vikali...

Askofu Mkuu Ruwa'ichi anatoa sababu ya Mungu kufanya hivyo ... kwa kuwa Mungu ana mpango wake ...
 
Back
Top Bottom