Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2019
Posts
1,521
Reaction score
4,381
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
 
maDED bado wanasimamia Kura hilo halina wasiwasi ije mvua lije jua kutangazwa kashinda ni lzm,
 
Ujumbe makini sana na wasikie wapambe wake
 
Kuanguka CCM si ndiyo fursa kwenu UP?
 
kwa mara ya kwanza siendi kupiga kura 2025, akismama tu huyo mama bora nilale
 
maDED bado wanasimamia Kura hilo halina wasiwasi ije mvua lije jua kutangazwa kashinda ni lzm,
DED aliyepata fedha za maendeleo kupitia bajeti ya serikali kuu ya mwaka 2021/22 atoe sifa za Samia Suluhu
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Makama aliwaondoa sukuma gang kama wasemavyo watoto wa Msoga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakupenda mama,mengine hayo ni mapungufu tu
 
Kabisaaaa. Hata mimi nionavyo ni kwamba,akijaribu kugombea mwaka 2025, ni sawa kabisa na kuuza chama tena kwa bei ya kutupa.
Mwaka 2025 wangemtafuta mtu mmoja ngangali, Mzalendo wa kweli, mwenye uthubutu na maono, vinginevyo CCM inakwenda kufia mikononi mwake.
Kwa sasa hakuna mtu wa aina hiyo...CCM pia haiwezi kufa...2025 Samia atagombea na atashinda Kati ya 50 na 57 percent ya wapiga kura...lakini wapiga kura hao watakuwa chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha ...kutakuwa na election apathy...wengi hawatakwenda kupiga kura....

Serikali ya sasa imefanya makosa kadhaa ambayo yataigharimu...
Kwanza ni tamko la rais siku chache baada ya kifo Cha JPM kuwa sasa anafungua nchi...that was a mistake. Hakukuwa na haja ya kutoa kauli ya aina ile.

Pili ni suala la Corona..a number of Tanzanians in milions bado wanamuona JPM alikuwa sahihi katika mikakati dhidi ya Corona

Tatu ni teuzi za watu Kama akina Makamba ambao walikuwa against JPM

Nne ni kampeni dhidi ya kundi linaloitwa Sukuma gang. Kwanza kundi Hilo halipo it is a myth lakini watu wanaaminishwa Kuna kundi Kama Hilo. Wasukuma wenyewe wamekaa tuli hawasemi kitu lakini ikumbukwe wasukuma nchi nzima wako zaidi ya milioni 15.
Tano ni suala la Bandari ya Bagamoyo.
Sita suala la sukari na controversial statements zinazotolewa...
Saba ni suala la machinga.
Nane ni mfumuko wa Bei.
Tisa ni matajiri ambao wameanza kujinafasi kwa kutamba huku na kule.
Kumi ni suala la Muungano ambapo wabara wengi wameanza kuhoji masuala Kama ya ardhi inakuwaje wazanzibari wamiliki ardhi bara lakini wabara wakataliwe kule Zanzibar..pia ajira ya wazanzibari huku bara.

Kimsingi zipo nyufa nyingi mno kitaifa
 
CCM hatujawahi kutegemea makaratasi ya kupigia kura kupata rais, mpende msipende 2025 Samia ndo rais, na kwenye chama tutaprint fomu moja tu kwa ajili ya Samia.
 
Back
Top Bottom