Rais Samia alikosea Mwanzo hawezi kurekebisha kwani tayari ameshaharibu

Papara zake baada ya kuchukua kiti ndiyo zitamgarimu, na kama kweli CCM huiba kura basi ili mama abaki 2025 wajipange kuiba kweli kweli, la sivyo hali si nzuri. Kibaya zaidi mama hakubaliki hadi vijijini.
Mama SSH anaweza asikubalike vijijini kama ,arais wengine, lakinio bado CCM< inakubalika na itambeba. Sioni mtu wa upinzamni anayekubalika vijijini. Mbowe ndiyo kabisa kachoka. Huko kwake hata ubunge walimnyima itakuwa uraisi, tena kutoka maeneo ya upinzani ambayo amewavuruga viongozi wa huko. Tarime na Bunda kishatibua baada ya kuwafukuza uananachama waliyokuwa wabunge wa huko. Unapomfukuza mbunge wa kuchaguliwa kwenye chama ni sawa na kuwakataa waliyomchagua. Hii fukuzafukuza iliwalenga viongozi wa CHADEMA wenye mvuto, na sasa wamebaki na mazezeta wanayoimba Mbowe jamba tufurahi, Mbowe anawajambia na wanashindani kunusu ushuzi wake (hasa wale wa JF).
 
Ule uporaji wa uchaguzi haukufanyika kwa bahati mbaya, bali uwezekano wa CCM kushinda kama alivyotaka Magufuli haukuwepo na wala haitakuwa uwepo tena. Ni kweli Magufuli angeweza kushinda kihalali, lakini ungekuwa ni ushindi mwembamba sana, na huko bungeni ccm haikuwa na uwezo wa kufikia 2/3 ya wabunge ya kuwafanya kupitisha chochote watakacho. Na sio wakati huo tu, ni kuwa kwa sasa uwezo wa CCM kushinda zaidi ya 50% haupo tena maana ccm sio chama cha kizazi hiki. Hutaki jinyonge.
Ushindi mwembamba kwa wagombea wapi Lissu .kama cdm wenyewe walisema waliweka wagombea dhaifu wee ni nan mpaka ubishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
True that!
 
Ni kwamba hatukuona kilichoendelea kwenye uchaguzi ama? Kwanza tu kwa kile kitendo cha wapiga kura kuwa ni 29m+, hiyo peke yake ilikuwa ni majibu tosha ya kilichoenda kutokea.
Ushindi mwembamba kwa wagombea wapi Lissu .kama cdm wenyewe walisema waliweka wagombea dhaifu wee ni nan mpaka ubishe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Ukiona adui anakushangilia ujue umechemka - JPM (Nukuu isiyo rasmi).

Mama ashituke jumba linamuangukia hili.
 
Kwa sasa hakuna mtu wa aina hiyo...CCM pia haiwezi kufa...2025 Samia atagombea na atashinda Kati ya 50 na 57 percent ya wapiga kura...lakini wapiga kura hao watakuwa chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha ...kutakuwa na election apathy...wengi hawatakwenda kupiga kura....
Serikali ya sasa imefanya makosa kadhaa ambayo yataigharibu...Kwanza ni tamko la rais siku chache baada ya kifo Cha JPM kuwa sasa anafungua nchi...that was a mistake...hakukuwa na haja ya kutoa kauli ya aina ile...pili ni suala la Corona..a number of Tanzanians in milions bado wanamuona JPM alikuwa sahihi katika mikakati dhidi ya Corona...tatu ni teuzi za watu Kama akina Makamba ambao walikuwa against JPM...nne ni kampeni dhidi ya kundi linaloitwa Sukuma gang...Kwanza kundi Hilo halipo it is a myth lakini watu wanaaminishwa Kuna kundi Kama Hilo...wasukuma wenyewe wamekaa tuli hawasemi kitu lakini ikumbukwe wasukuma nchi nzima wako zaidi ya milioni 15...tano ni suala la Bandari ya Bagamoyo...sita suala la sukari na controversial statements zinazotolewa...Saba ni suala la machinga..nane ni mfumuko wa Bei ...Tisa ni matajiri ambao wameanza kujinafasi kwa kutamba huku na kule...kumi ni suala la Muungano ambapo wabara wengi wameanza kuhoji masuala Kama ya ardhi inakuwaje wazanzibari wamiliki ardhi bara lakini wabara wakataliwe kule Zanzibar..pia ajira ya wazanzibari huku bara...
Kimsingi zipo nyufa nyingi mno kitaifa
I second and period!!
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Hii ni Africa mkuu. Hususani Tz,sio lazima apate hata moja kura. Lakini wiki ijayo anaapishwa
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Alishawaonyesha watu ni mtu mnafiki kwa jpm. Alipoingia tu akaanza kuwafurahisha adui wa jpm kwa kuwaachia fisadi magerezani na kupiga vijembe vingi dhidi ya jpm. Hali ya kudaiwa kodi wafanyabiashara kibabe haikutokea kwa kupenda ila ni kutokana na wafanyabiashara kuwa wagumu kulipa kodi na tabia ya ukwepaji kodi. Waomini wa jpm hatutasahau kitendo cha kuanza uongozi kwa kumtosa sabaya na kumtupa lupango. Hili lilikua shambulizi la moja kwa moja kwa wanamapinduzi. Hata angekua na makosa hakustahili kufanyiwa vile kama kiongozi kwenye serikali ya jpm. Ziko hatua za ndani za kinidhamu kwa kiongozi sio kumtosa kwa watu wenye kumwita jambazi kwa kua anawabana kufanya magendo na kulipa kodi. Baya zaidi alisikiliza fitna za maadui wa jpm na kuzifanyia kazi.
Kusema atamuweka yeyeto serikali eti kama ana mchango ni kuepa masuala ya itikadi na uzalendo. Ina maana anaweza hata kuweka majasusi. Amefanya hivyo ili kuwaweka wafanya biashara, na watu wenye muelekeo wa kibinafsi na ufisadi wakati hata katiba ya nchi imesema tunajenga nchi ya kijamaa.
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Hivi kuna kutengeneza URAFIKI na wapiga kura na WANANCHI zaidi ya ya mh.Rais SSH kumuacha MTEULE wa Rais aliyechaguliwa na WANANCHI aendelee kuhudumu?!!!

Mh.Kassim Majaliwa ameendelea kuwa WAZIRI MKUU.......

SIEMPRE JMT
 
Alishawaonyesha watu ni mtu mnafiki kwa jpm. Alipoingia tu akaanza kuwafurahisha adui wa jpm kwa kuwaachia fisadi magerezani na kupiga vijembe vingi dhidi ya jpm. Hali ya kudaiwa kodi wafanyabiashara kibabe haikutokea kwa kupenda ila ni kutokana na wafanyabiashara kuwa wagumu kulipa kodi na tabia ya ukwepaji kodi. Waomini wa jpm hatutasahau kitendo cha kuanza uongozi kwa kumtosa sabaya na kumtupa lupango. Hili lilikua shambulizi la moja kwa moja kwa wanamapinduzi. Hata angekua na makosa hakustahili kufanyiwa vile kama kiongozi kwenye serikali ya jpm. Baya zaidi alisikiliza fitna za maadui wa jpm na kuzifanyia kazi.
Kusema atamuweka yeyeto serikali eti kama ana mchango ni kuepa masuala ya itikadi na uzalendi. Amefanya hivyo ili kuwaweka wafanya biashara, na watu wenye muelekeo wa kibinafsi wakati hata katiba ya nchi imesema tunajenga nchi ya kijamaa.
Unataka kusema nini kwani hayati JPM aliwaacha wateule wa Kikwete?!!!

Tatizo lako unataka Rais mpya atende 💯 p kama mtangulizi wake......

Kila zama ya utawala huwa ina mapungufu yake.....kwa hiyo mh.Rais SSH asirekebishe kasoro kwa kuogopa kuitwa MNAFIKI?!!! 😳😳😳
 
Kwa maana kuwa kile kipimo cha siku mia moja za kwanza tangu Rais aingie madarakani yeye ndo akivunje kwa kukaa kimya bila kufanya mabadiliko? Ikiwa wiki ya kwanza tu baada ya kuapishwa wenye kupiga walifanya yao huo mwaka mmoja si wangekuwa wameunda hata jeshi? Usimpangie mh Rais kwa vile huenda amegusa maslahi yako. Kazi iendelee
 
kwa mara ya kwanza siendi kupiga kura 2025, akismama tu huyo mama bora nilale
Daaah tatizo ni nini komredi wangu?!!

Tulikuwa pamoja kwa kushikana kipindi cha hayati JPM kuitetea CCM na serikali yake...hivi CCM haiko madarakani ?!!!

Hivi tumeyasahau MADARASA YETU YA ITIKADI kuhusu utii kwa viongozi wetu wakubwa na chama chake ?!!!!

Kipi kimebadilika makomredi ?!!!😳🤣🤣

CCM haijaondoka baada ya awamu ya 5 na itakuwepo hata baada ya awamu ya 10 aaamin aaaamin!
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Unaelekea kuanguka?, Are you dreaming or delusional?...
 
maDED bado wanasimamia Kura hilo halina wasiwasi ije mvua lije jua kutangazwa kashinda ni lzm,
Nawashangaa hawa wapinzani kujipa matumaini ya uongo,, haya ngoja tusubiri utawala uanguke basi?
Hawa ccm wanaijua au wanaisikia tu kwenye majira?
 
Kabisaaaa. Hata mimi nionavyo ni kwamba,akijaribu kugombea mwaka 2025, ni sawa kabisa na kuuza chama tena kwa bei ya kutupa.
Mwaka 2025 wangemtafuta mtu mmoja ngangali, Mzalendo wa kweli, mwenye uthubutu na maono, vinginevyo CCM inakwenda kufia mikononi mwake.
Mh.Rais SSH aliteuliwa na hayati JPM kuwa mgombea mwenza.....unapoanza kusema si mzalendo basi unaacha mashaka hata na uzalendo wa aliyemteua.......

FYI: Mh.Kikwete aliambiwa CCM itamfia.....vipi limetokea hilo?!!!

Siempre JMT
 
Kwa sasa hakuna mtu wa aina hiyo...CCM pia haiwezi kufa...2025 Samia atagombea na atashinda Kati ya 50 na 57 percent ya wapiga kura...lakini wapiga kura hao watakuwa chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha ...kutakuwa na election apathy...wengi hawatakwenda kupiga kura....
Serikali ya sasa imefanya makosa kadhaa ambayo yataigharibu...Kwanza ni tamko la rais siku chache baada ya kifo Cha JPM kuwa sasa anafungua nchi...that was a mistake...hakukuwa na haja ya kutoa kauli ya aina ile...pili ni suala la Corona..a number of Tanzanians in milions bado wanamuona JPM alikuwa sahihi katika mikakati dhidi ya Corona...tatu ni teuzi za watu Kama akina Makamba ambao walikuwa against JPM...nne ni kampeni dhidi ya kundi linaloitwa Sukuma gang...Kwanza kundi Hilo halipo it is a myth lakini watu wanaaminishwa Kuna kundi Kama Hilo...wasukuma wenyewe wamekaa tuli hawasemi kitu lakini ikumbukwe wasukuma nchi nzima wako zaidi ya milioni 15...tano ni suala la Bandari ya Bagamoyo...sita suala la sukari na controversial statements zinazotolewa...Saba ni suala la machinga..nane ni mfumuko wa Bei ...Tisa ni matajiri ambao wameanza kujinafasi kwa kutamba huku na kule...kumi ni suala la Muungano ambapo wabara wengi wameanza kuhoji masuala Kama ya ardhi inakuwaje wazanzibari wamiliki ardhi bara lakini wabara wakataliwe kule Zanzibar..pia ajira ya wazanzibari huku bara...
Kimsingi zipo nyufa nyingi mno kitaifa
Huwezi kuanza kujudge utawala wa SSH uliodumu kwa miezi 8 tu,, subiri at least miaka 3,atafanya maajabu pengine kuzidi marais wote,, maana huyu mama kila hela ikipatikana anakimbiza kufanya maendeleo tena kwa uwazi,, sasa just imagine in 3 years time atakuwa kafanya mangapi,,
Kumbuka ana miezi 8 tu,, kabakiza miaka 4 full kabla ya uchaguzi,
 
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu

kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late

Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Upo sawa mkuu
 
Mama SSH anaweza asikubalike vijijini kama ,arais wengine, lakinio bado CCM< inakubalika na itambeba. Sioni mtu wa upinzamni anayekubalika vijijini. Mbowe ndiyo kabisa kachoka. Huko kwake hata ubunge walimnyima itakuwa uraisi, tena kutoka maeneo ya upinzani ambayo amewavuruga viongozi wa huko. Tarime na Bunda kishatibua baada ya kuwafukuza uananachama waliyokuwa wabunge wa huko. Unapomfukuza mbunge wa kuchaguliwa kwenye chama ni sawa na kuwakataa waliyomchagua. Hii fukuzafukuza iliwalenga viongozi wa CHADEMA wenye mvuto, na sasa wamebaki na mazezeta wanayoimba Mbowe jamba tufurahi, Mbowe anawajambia na wanashindani kunusu ushuzi wake (hasa wale wa JF).
Chadema walibugi big time kuwafukuza kina Bulaya, Halima, hili watajutia milele kama wanavyojutia sasa kukimbia toka kwenye bunge la Katiba
 
Back
Top Bottom