Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
maDED bado wanasimamia Kura hilo halina wasiwasi ije mvua lije jua kutangazwa kashinda ni lzm,Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu
kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late
Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Ujumbe makini sana na wasikie wapambe wakeMimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu
kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late
Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
Mkuu ina maana umeacha kumfanyia upambe mamaUjumbe makini sana ,na wasikie wapambe wake
Mimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza

DED aliyepata fedha za maendeleo kupitia bajeti ya serikali kuu ya mwaka 2021/22 atoe sifa za Samia SuluhumaDED bado wanasimamia Kura hilo halina wasiwasi ije mvua lije jua kutangazwa kashinda ni lzm,
Makama aliwaondoa sukuma gang kama wasemavyo watoto wa MsogaMimi niliuona uongozi wa Rais Samia kinabii nikauona ni uongozi unaoelekea kuanguka ila watu wasiomtakia mema walimsifu na kusema anaupiga mwingi kumbe walikuwa wanampoteza
Rais Samia kabla ya kujijenga kisiasa alitakiwa kwanza awe mtulivu atengeneze urafiki na wapiga kura wake awafariji waliofiwa walau atulie kwa muda hata wa mwaka mmoja ndipo aanze mabadiliko ndani ya serikali yake lkn hawakumshauri vizuri badala yake akaanza visasi kwa kiwango cha hali ya juu
kwa sasa anaona Pamevuja anaona nguvu ya chuki dhidi yake inaongezeka lkn it's too late
Nasisitiza kuwa, kugombea Samia 2025 ni anguko kuu la CCM
kwa mara ya kwanza siendi kupiga kura 2025, akismama tu huyo mama bora nilale
Wewe mlamba makalio wa Nzilankende unabii umeupata wapi?kinabii
Kwa sasa hakuna mtu wa aina hiyo...CCM pia haiwezi kufa...2025 Samia atagombea na atashinda Kati ya 50 na 57 percent ya wapiga kura...lakini wapiga kura hao watakuwa chini ya asilimia 40 ya waliojiandikisha ...kutakuwa na election apathy...wengi hawatakwenda kupiga kura....Kabisaaaa. Hata mimi nionavyo ni kwamba,akijaribu kugombea mwaka 2025, ni sawa kabisa na kuuza chama tena kwa bei ya kutupa.
Mwaka 2025 wangemtafuta mtu mmoja ngangali, Mzalendo wa kweli, mwenye uthubutu na maono, vinginevyo CCM inakwenda kufia mikononi mwake.