rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
Exactly my thoughts. Hii kitu nilitaka niianzishie thread Jana ila nikaishia kudiscuss tu na watu.
Huyu mama sijui anatuchukuliaje watanganyika. Yaani vitoto vidogo vile maskini ya Mungu halafu yeye na Serikali yake wamejirundika Monduli.
SI angeweza kabisa kumuacha makamu au waziri mkuu pale kisha yeye aende kufariji wahanga na hata tu kuzuga eneo la tukio.
Wazungu wanatuzidi akili sana na ndio maana wanatuona kama manyani tu. Hii issue ingetokea labda US au Europe basi kiongozi angeacha kila kitu akimbilie hapo maana SI tukio litokealo kila siku na ni baya sana.
Sasa Cha ajabu naona hata kamanda wa zimamoto alipigiwa simu akasema Yuko kwenye msafara wa Rais hivyo atafutwe sijui nani huko ofisini!!!!!??? KWELI!!!!
Yaani mtu mweusi ni rubbish tu. Sijui tulimkoseaga nini Mungu wallah. Sokoine amezikwa 84 hawa watoto bado wabichi kabisa... YUPI WA MUHIMU HAPO.
MI NADHANI CCM WAMEONGOZA NCHI HADI WAMECHOKA SASA WANATEMBELEA NEUTRAL TU. LAKINI IPO SIKU DHARAU HIZI ZITAFIKA KIKOMO. WATU WANAJALI ZAIDI MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAIS KULIKO MAISHA YA WATOTO KIZAZI CHA KESHO. TUMEPOTEZA NGUVU KAZI NGAPI JANA? JE HAWAKUSTAHILI FARAJA WAZAZI NA WALEZI WAO???
ANYWAY .... acha tuendelee kuvuta pumzi