Rais Samia alikuwa Arusha kuhudhuria miaka 40 ya Sokoine: Je, kwa nini kapotezea Msiba mkubwa watoto wa shule kuzama kwenye Maji?

Exactly my thoughts. Hii kitu nilitaka niianzishie thread Jana ila nikaishia kudiscuss tu na watu.

Huyu mama sijui anatuchukuliaje watanganyika. Yaani vitoto vidogo vile maskini ya Mungu halafu yeye na Serikali yake wamejirundika Monduli.

SI angeweza kabisa kumuacha makamu au waziri mkuu pale kisha yeye aende kufariji wahanga na hata tu kuzuga eneo la tukio.

Wazungu wanatuzidi akili sana na ndio maana wanatuona kama manyani tu. Hii issue ingetokea labda US au Europe basi kiongozi angeacha kila kitu akimbilie hapo maana SI tukio litokealo kila siku na ni baya sana.

Sasa Cha ajabu naona hata kamanda wa zimamoto alipigiwa simu akasema Yuko kwenye msafara wa Rais hivyo atafutwe sijui nani huko ofisini!!!!!??? KWELI!!!!

Yaani mtu mweusi ni rubbish tu. Sijui tulimkoseaga nini Mungu wallah. Sokoine amezikwa 84 hawa watoto bado wabichi kabisa... YUPI WA MUHIMU HAPO.

MI NADHANI CCM WAMEONGOZA NCHI HADI WAMECHOKA SASA WANATEMBELEA NEUTRAL TU. LAKINI IPO SIKU DHARAU HIZI ZITAFIKA KIKOMO. WATU WANAJALI ZAIDI MAWAZIRI WANAOMTUKANA RAIS KULIKO MAISHA YA WATOTO KIZAZI CHA KESHO. TUMEPOTEZA NGUVU KAZI NGAPI JANA? JE HAWAKUSTAHILI FARAJA WAZAZI NA WALEZI WAO???

ANYWAY .... acha tuendelee kuvuta pumzi
 
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!

miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?

Je Arusha sioe sehemu ya Tanzania? kweli jaman ndio tunakoelekea ni huku kweli?
Hata mtangulizi wake alifanya kama yeye tena hukohuko Ar
 
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!

miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?

Je Arusha sioe sehemu ya Tanzania? kweli jaman ndio tunakoelekea ni huku kweli?
Wawakilishi wake si wapo,Rais atakua kila sehemu
 
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!

miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?

Je Arusha sioe sehemu ya Tanzania? kweli jaman ndio tunakoelekea ni huku kweli?
Mpaka jana mtoto mmoja tu aliehakikishwa kuwa amekufa, wengine walikua wanaendelea kufafutwa.
 
Sijawahi kutukana. Wewe ni chawa wa Mwigulu Nchemba.
Mwigullu ni Waziri wa Fedha Serikali ya awamu ya 6

CHAWA wake Wako Moshi kwa ajili ya 2030 kama Lupaso

PM Marope kama Tuluway

Samahani lakini 😂

Siasa ni Sayansi 😂😂😂😂😂
 
Mwigullu ni Waziri wa Fedha Serikali ya awamu ya 6

CHAWA wake Wako Moshi kwa ajili ya 2030 kama Lupaso

PM Marope kama Tuluway

Samahani lakini 😂

Siasa ni Sayansi
Na wewe pia unavuta kitu kidogo kwa Lameck wewe ni chawa wake pia
 
Kumbe Ni Mwigulu!!!!
Yaani bado hatosheki anataka nafasi ya mama!!
Kweli mfadhili mbuzi japo utakunywa supu.
Anautaka Urais kwa udi na uvumba yuko radhi hata kutoa kafara mtoto wake yule mwenye mashavu kama paka shume.
 
habari ya Msiba mkubwa ikapotezewa ikaingia habari ya Makonda tu mji mzima kuongea sjui mawaziri wanamtukana Rais!

miw naona kuna kitu hakiko sawa hapa! je ni aina ya Uchawi au kupuuzia? hivi kweli haya kwenye TWITTER ya Rais hakuna hata kutoa pole? zaid ya kusema alihudhuria 40 ya Sokoine?

Je Arusha sioe sehemu ya Tanzania? kweli jaman ndio tunakoelekea ni huku kweli?
Makonda ana vituko sana.
 
Stupid, we get news from official sources, not any Tom, Dick and Harry.
What are your official sources that did not visit the scene?
It is high time you rely on Dick because your sources are not reliable young lady.
 
Si ashatoa pole tayari
Nyie sahv pambaneni na huyo dereva aliyewaingiza mtaroni watoto mshugulikieni

Ova
 
Back
Top Bottom