CreativityCode
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 158
- 653
Shalom from Jerusalem,
Licha ya ukweli kwamba Rais Samia alikuwa kwenye utawala wa dikteta Magufuli alikuwa na nafasi kubwa sana ya kubadilika na kusimamia matakwa yote ya demokrasia na kuheshimu sheria kwa ustawi wa nchi lakini amejiharibia kuendelea kukomaa na kesi ya kubumba dhidi ya Mbowe.
Yaani hata aibu hana, kila kitu kiko wazi kwamba Mbowe na wenzake hawana hatia, yeye sijui ndiyo hao TISS wanamdanganya?
Mama wewe futa mashtaka ujisafishe, maana bado hujachelewa, acha alama iliyo njema duniani, nakuhakikishia utashinda tuzo la amani la Nobel na kuleta heshima kwa taifa letu.
Mungu awabariki.