Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

Mambo ya ovyo sanaz hivi kweli katika mamilion ya Vijana watanzania, wamekosekana Vijana Makini mbadala wa Hawa majizi???.



Unajua nn, tatizo ni Mfumo wa Rushwa wanaokua wameutengeneza kuanzia DED, DSO OCD mpaka huko wizaran.


Sasa wanalindana mnoo ,Ndio Sababu Kwa JPM Waliogopa hata kuteuliwa.


Wamekutana na mwanamke mmOja anawaambia, Sipendi kufoka foka Mimi
 
Embu Tuanzisheni Uzi Mpya wa kuwataja maDED wote waliotumbuliwa Kwa Ufisadi, Sasa wamerejeshwa .
 
Tanzania ni mali ya CCM, huwa wanajigawia tu kitu chochote wanachoona kinawafaa
 
Tangia alivomtumbua Mataragio usiku halafu asubuhi akamrudisha nikajua tayari kama nchi tumepigwa.
 
Huyu mama nasikia anajulikana kama BI MCHELE ndo ak yake ukiamua kumchomekea hata barua ya posa mara ya pili atasaini tu
 
Wanahonga fedha nyingi kabla, ili jina liingizwe kwenye mkeka kabla ya uteuzi, Mama hupelekewa tu.
 
Sio kila anayetumbuliwa huwa ana makosa, inawezekana ikawa ni kupisha uchunguzi lakini baada ya uchunguzi ikagundulika hana makosa,kwa hiyo mamlaka za uteuzi wanafanya uamuzi wa kumrudisha Kwenye nafasi yake!!

Sio huyo tu,Kuna mwingine hapo Mkurugenzi wa Ludewa Sunday,mamlaka zilitengua uteuzi wake,lakini wamemrudisha kwenye halmashauri hiyo hiyo!!
 
TUKUBALIANE TU, TUNA RAIS NA AWAMU DHAIFU ZAIDI KTKT HISTORIA YA TANZANIA.

cc:Chawa wa mama
 
Angejitahidi kuwa anasoma japo kidogo. Haya ndiyo yanaliangamiza Taifa kwenye mkataba wa Bandari zetu za Tanganyika
 
Naanza kuamini japo inawezekana akamrudisha Kwa kusudi kabisa maana hata kina Makubi walitumbuliwa na Sasa wamerudishwa tena.
 
Sawa, lakini si busara kumrudisha pale pale
 
Unajisumbua Bure Nchi Ina wenyewe hii
 
Labda kajirekebisha...

Hata mkuu wa Mkoa wa Dsm alitumbuliwa na akateuliwa tena....
 
Rais ni binadamu!, tusimlaumu Rais kwa makosa ya kukoseshwa na wasaidizi wake! Rais Samia, sio malaika ni binadamu anaweza kukosea. Tusimlaumu, kumshutumu na kumponda kwa makosa ya kukoseshwa. Tumvumilie tumpe muda
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…