Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
- Thread starter
- #81
Mambo ya ovyo sanaz hivi kweli katika mamilion ya Vijana watanzania, wamekosekana Vijana Makini mbadala wa Hawa majizi???.Siku hizi hakuna vetting ni kutokana na nani anayekujua, kuna ma mtu malevi, majizi na mazinzi na yana tabia mbaya kwa jamii yameteuliwa kuwa DED. Yamewaacha midomo wazi watumishi.
Kuna Ded anaitwa Kagunze alishindwa kazi vibaya wilaya ya mlele mkoa wa Katavi, hata huhitaji kutumia nguvu kufanya vetting, hata ungemuuliza mtoto mdogo anakuambia. Alifukuzwa saizi kapandishwa kuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya shinyanga. Aibu sana na inakatisha tamaa watumishi wenye maadili n wanaopenda kuchapa kazi. Ni udhaifu mkubwa na kwa hili katibu mkuu kiongozi hausaidii utumishi wa umma
Unajua nn, tatizo ni Mfumo wa Rushwa wanaokua wameutengeneza kuanzia DED, DSO OCD mpaka huko wizaran.
Sasa wanalindana mnoo ,Ndio Sababu Kwa JPM Waliogopa hata kuteuliwa.
Wamekutana na mwanamke mmOja anawaambia, Sipendi kufoka foka Mimi